ni kwa jili ya usafi wa kawaida, jasho, mafua, tukihisi nguo inavumbi tunafuta n.k hizo leso zingine hazionekani hadharani ni maalumu kwa seemu maalumu na ni tofauti za hizo. wengine wanakuja utapata majibu
Nashukuru mkuu umeleta uzi mzito;Habar zenu wakubwa!
Kunakitu kinanitatiza sana kuhusu hv vitambaa au Leso twapenda kuita,kwa nini asilimia kubwa sana wakina dada hupenda kuwa navyo kuliko jinsia Me(kiume)sasa ndo kusema ni usafi wa kujifuta jasho tu,au kuna kazi nyingine kinafanyia hebu tuelimishane hapo,ili nasi tujue wapendwa!
NAWASILISHA
Nashukuru mkuu umeleta uzi mzito;
Hakika Vitambaa hivyo vina majina kibao na kila kitambaa kina hadhi yake,bei yake na wajiba wake. Nafikiri takwimu za
akina mama zitachangia kututafsiria kimatumizi.
heeh!na majina vimepewa eeeh!wadada hebu FUNGUKENI BHASI NAS 2JUE
Habar zenu wakubwa!
Kunakitu kinanitatiza sana kuhusu hv vitambaa au Leso twapenda kuita,kwa nini asilimia kubwa sana wakina dada hupenda kuwa navyo kuliko jinsia Me(kiume)sasa ndo kusema ni usafi wa kujifuta jasho tu,au kuna kazi nyingine kinafanyia hebu tuelimishane hapo,ili nasi tujue wapendwa!
NAWASILISHA
Ni kweli ni kila mtu kwa hadhi yake na kwa uwezo wake na shopping place yake mfano leso hiyo hiyo moja kko inaweza ikauzwa buku na Mlimani city ikauzwa buku tano.Sometimes pia wengine hupenda kujishebendua waonekane matawi wakati si lolo wala chocho unaweza kukuta mdada kasuka nywele zake za yeboyebo uswazi kwao kwa buku kumi tu mwenzie akamuuliza kwa upendo umependeza sana umesuka wapi akajibu nimesuka Kinondoni hamsini elfu.Kila mtu na hadhi yake, kuna mdada mmoja ajidai yeye hutumia aina ya Shafoni zake kutoka Dubai husemaga hivi ati nanuaNot less thn 200$...!! sijui ana mean nini.. Wengine hutumia Vitambaa hivyo na kulinganisha na rangi na mtindo wa nguo atazovaa...yaani matching !! mmh hii mbegu hatari!!
ni for usafi......,jasho unajifuta cos mdada kutiririka mijashoo nayo haipendezi
ni kama awp ametoa majib yoote ya msingi
Nina miaka mingi sana sijamiliki leso
Tena zilikuwepo zile za mia tatu, kama taulo hivi
Ila mara nyingi nakuwa na mtandio au kanga in case fire, na mbona sitoki majasho wala sihitaji kujifuta? Unless nafanya mazoezi.
Tehe tehe tehe....mkuu Kongosho, jasho halimtoki mtu unless ameoga. We ngoja siku uoge vinyweleo vizibuke kama hukuniPM nikuletee leso