jaribuni kujenga hoja katika majibu yenu!!!!!!! hv ukiwa unaoga akaja chizi na kuchukua nguo zako akakimbia nazo utamkimbiza!?Majibu hutokana na swali lilivyoulizwa. Ukiuliza utumbo usitegemee kujibiwa tofauti! Got it?
jaribu kuwa mwelewa mimi sifurahishwi hata kidogo na mwenendo wa magamba....Jitahidi kutafuta ngozi ngumu kustahimili mashambulizi toka upande mwingine. Sio lazima watu wakufurahie kwa kila jambo. Mfano mzuri rais wetu JK anapenda kufurahishwa tu na wasaidizi wake hataki kuskia ukweli unaouma na matokeo yake anadanganywa kila siku. Hata wewe mleta mada kama unapenda kufurahishwa tu bila kupingwa nenda facebook ambako atakayekupinga unamdelete, ila hapa lazima watu wakushukie tu.
sasa hili ni tatizo la Chadema au la wafuasi/washabiki wa chadema?Kwanza naomba ku-declare kuwa mimi si mshabiki wa chama chochote cha siasa! ila ni mfuatiliaji nikipenda kujua sera na mikakati ya kila chama! Hv sasa vijana walio wengi wanadhani kuwa chadema ndicho chama kitakachokuja kuwakomboa na kuwaondolea wimbi la umasikini!
Binafsi nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayojadiliwa hapa kwenye jukwaa la siasa! Tatizo kubwa nililoliona kwa washabiki wa chadema ni kuwa mara nyingi/wengi wanapoona mtu ameanzisha thread ya kuichallenge chadema hulipuka kwa majibu makali, dharau, kejeli au kashfa....mara utasikia eti hauna akili, au mnafiki au majibu makali, hili ni tatizo.. Unapopata challenge lazima uipangua kwa hoja yenye hekima na busara jambo hilo litatufanya tuwaamini ni kuwapa dola lakini si kwa majibu ya kejeli, kashfa au dharau.. ieleweke nyie wenye majibu ya mtindo huo ndo mtakaokuwa maDC, wenyeviti wa mitaa n.k...sasa majibu yenu ndo yatakuwa hivyo kwa wananchi wenu? Jitafakarini............................
jaribu kuwa mwelewa mimi sifurahishwi hata kidogo na mwenendo wa magamba....Jitahidi kutafuta ngozi ngumu kustahimili mashambulizi toka upande mwingine. Sio lazima watu wakufurahie kwa kila jambo. Mfano mzuri rais wetu JK anapenda kufurahishwa tu na wasaidizi wake hataki kuskia ukweli unaouma na matokeo yake anadanganywa kila siku. Hata wewe mleta mada kama unapenda kufurahishwa tu bila kupingwa nenda facebook ambako atakayekupinga unamdelete, ila hapa lazima watu wakushukie tu.
Kwanza naomba ku-declare kuwa mimi si mshabiki wa chama chochote cha siasa! ila ni mfuatiliaji nikipenda kujua sera na mikakati ya kila chama! Hv sasa vijana walio wengi wanadhani kuwa chadema ndicho chama kitakachokuja kuwakomboa na kuwaondolea wimbi la umasikini!
Binafsi nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayojadiliwa hapa kwenye jukwaa la siasa! Tatizo kubwa nililoliona kwa washabiki wa chadema ni kuwa mara nyingi/wengi wanapoona mtu ameanzisha thread ya kuichallenge chadema hulipuka kwa majibu makali, dharau, kejeli au kashfa....mara utasikia eti hauna akili, au mnafiki au majibu makali, hili ni tatizo.. Unapopata challenge lazima uipangua kwa hoja yenye hekima na busara jambo hilo litatufanya tuwaamini ni kuwapa dola lakini si kwa majibu ya kejeli, kashfa au dharau.. ieleweke nyie wenye majibu ya mtindo huo ndo mtakaokuwa maDC, wenyeviti wa mitaa n.k...sasa majibu yenu ndo yatakuwa hivyo kwa wananchi wenu? Jitafakarini............................
Kwanza naomba ku-declare kuwa mimi si mshabiki wa chama chochote cha siasa! ila ni mfuatiliaji nikipenda kujua sera na mikakati ya kila chama! Hv sasa vijana walio wengi wanadhani kuwa chadema ndicho chama kitakachokuja kuwakomboa na kuwaondolea wimbi la umasikini!
Binafsi nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayojadiliwa hapa kwenye jukwaa la siasa! Tatizo kubwa nililoliona kwa washabiki wa chadema ni kuwa mara nyingi/wengi wanapoona mtu ameanzisha thread ya kuichallenge chadema hulipuka kwa majibu makali, dharau, kejeli au kashfa....mara utasikia eti hauna akili, au mnafiki au majibu makali, hili ni tatizo.. Unapopata challenge lazima uipangua kwa hoja yenye hekima na busara jambo hilo litatufanya tuwaamini ni kuwapa dola lakini si kwa majibu ya kejeli, kashfa au dharau.. ieleweke nyie wenye majibu ya mtindo huo ndo mtakaokuwa maDC, wenyeviti wa mitaa n.k...sasa majibu yenu ndo yatakuwa hivyo kwa wananchi wenu? Jitafakarini............................
Kwanza naomba ku-declare kuwa mimi si mshabiki wa chama chochote cha siasa! ila ni mfuatiliaji nikipenda kujua sera na mikakati ya kila chama! Hv sasa vijana walio wengi wanadhani kuwa chadema ndicho chama kitakachokuja kuwakomboa na kuwaondolea wimbi la umasikini!
Binafsi nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayojadiliwa hapa kwenye jukwaa la siasa! Tatizo kubwa nililoliona kwa washabiki wa chadema ni kuwa mara nyingi/wengi wanapoona mtu ameanzisha thread ya kuichallenge chadema hulipuka kwa majibu makali, dharau, kejeli au kashfa....mara utasikia eti hauna akili, au mnafiki au majibu makali, hili ni tatizo.. Unapopata challenge lazima uipangua kwa hoja yenye hekima na busara jambo hilo litatufanya tuwaamini ni kuwapa dola lakini si kwa majibu ya kejeli, kashfa au dharau.. ieleweke nyie wenye majibu ya mtindo huo ndo mtakaokuwa maDC, wenyeviti wa mitaa n.k...sasa majibu yenu ndo yatakuwa hivyo kwa wananchi wenu? Jitafakarini............................
ndo majibu yenu haya yaani hapa hakuna hoja wala jibu lolote la kuonyesha ukomavu wa kisiasa ila ni matusi!!! hivi ndo mtatuongoza kwa mtindo huo? wananchi wategemee nini toka kwenu polenisigara gani umevuta mchana huu we juha? Acha mawazo ya pombe.
Nyambaff...........!
okay hata kama hamtakuwa na maDC basi viongozi wa kada za kati na za chiniKukusaidia kidogo hapo kwenye rangi nyekundu, CHADEMA wakiingia madarakani hawatakuwa na hao watu kwenye utawala wao manake wanaamini kwamba kuwa nao ni kufuja rasilimali chache tulizonazo!
sigara gani umevuta mchana huu we juha? Acha mawazo ya pombe.
Nyambaff...........!