Kitachompata Iran, kitaweka Historia

Kitachompata Iran, kitaweka Historia

Kununua silaha siyo shida hata marekani hununua silaha, shida ni silaha gani unatengeneza, high tech zaidi ya kumshinda mmarekani? Iran anasaidiwa kisirisiri na Mrusi, Mchina na Korea Kaskazini na hawawezi kumpa technolojia yote, usidanganye Iran siyo super power.
Duuuh

Yaani Mkuu Wewe Unajua Yakwamba IRAN Anasaidiwa Kutengeneza Silaha Nahao Ulowataja

Ila dunia haijui Hilo Inamaana Unaielewa IRAN Vyema Kuliko JAMII YAKIMATAIFA Mkuu Hongera Sanaa
 
USA, Israel, Saudia, UAE, Kuwait na washirika wengine wa kiarabu wakiamua kumfanyia shambulio la kushtukiza Iran watampoteza kabla hata hajaweza kujibu mkuu, sema vita sio kama unawinda ndege, kuna madhara mengine mengi ambayo hayatabiriki yanaweza kujitokeza hata kama umemshinda adui
Sema Iran akiendelea na provocation nadhani hilo halitaangaliwa tena
IRAN Kam Provoke Nani ?!

Ila Huo Upuuzi wakumkurupukia Muajemi Hakuna Anaeweza Kuufanya

US Kafanyiwa Mambo Kibao Yeye Kama Yeye Nahakuna Alolifanya

Seuze Huyu Mpuuzi SAUDI ARABIA Halaf Ugomvi Aununue US

Hakuna Anaeweza Ingia Mzgoni Nawaajemi
 
Hicho kituo cha mafuta cha Saudia kilichoshambuliwa Iran anahusika direct ama indirect

Anaweza kuhusika direct kwa sababu vituo hivyo vinalindwa na teknolojia ya hali ya juu ambayo hao waasi wa Houthi wanaodai kulipua hawana uwezo wa kuizunguka na kulipua

Anahusika indirect kwa sababu yeye ndiye anaywafadhili na kuwapa silaha hao Waasi wanaodai kulipua visima Saudi Arabia, kama Iran angekuwa hataki vita kweli huu sio muda wa kufadhili na kuwatuma hao waasi kwenda kuilipua Saudia kipindi hiki ambacho Mashariki ya Kati kuna tension kubwa na unaweza kutingisha kidogo tu na vita ikatokea,
 
yaani wakitaka wakipate kilichomtoa kanga manyoya wathubutu ku wage war against Iran
kuna wadau wanamtamani marekani wamdunde ila bado nao hawajapata sababu....
Mkuu Kuna mtu aliitwa Sadam Hussein alitisha kuliko Iran na alijitapa kuliko maelezo but... alinyofolewa unyoya.. Vita vya kuzingirwa visikie tu na ubabe wako lazima ukae chini... maana supply line ikishakatwa hata yule anayekusaidia anakuacha uangamie... Vita watu wanalenga maghara ya silaha yote so ukiishiwa na silaha huwezi pigana na manati au mawe kama wapalestina walivyoishiwa... Wanaokataa vita ni wa kuwapa heshima na wajeuri shauri zao... wamechagua upande waupendao
 
Aaaaaaah
Hicho kituo cha mafuta cha Saudia kilichoshambuliwa Iran anahusika direct ama indirect

Anaweza kuhusika direct kwa sababu vituo hivyo vinalindwa na teknolojia ya hali ya juu ambayo hao waasi wa Houthi wanaodai kulipua hawana uwezo wa kuizunguka na kulipua

Anahusika indirect kwa sababu yeye ndiye anaywafadhili na kuwapa silaha hao Waasi wanaodai kulipua visima Saudi Arabia, kama Iran angekuwa hataki vita kweli huu sio muda wa kufadhili na kuwatuma hao waasi kwenda kuilipua Saudia kipindi hiki ambacho Mashariki ya Kati kuna tension kubwa na unaweza kutingisha kidogo tu na vita ikatokea,
Sasa ngoja nikwambie kitu IRAN hahusiki Direct kwasababu Kashakanusha kama Hajahusika na katoa wito wafanye uchunguzi kama kahusika kwa namna yoyote ile watoe ushahidi

Hahusiki In direct sababu kama kuwapa silaha waasi US Anawapa silaha waasi wa SYRIA Against Assad
Aliwapa Silaha Waasi wa LIBYA Against Gaddafi ss hapa kwa hoja hii yaonesha yakwamba kuwapa silaha waasi sio tatizo ila wao kwenye kuzitumia ndio wanafanya tatizo

Ss IRAN Hahusiani Maana aliwapa silaha wajilinde ndani ya ARDHI Zao
 
Wewe unaichukulia Israel kama Yemen. Umesahau alivyowaua wanasayansi wa Iran na kulipua vinu vyao vya nyuklia. Akigonga Israel wanampasua hata bila ya msaada wa USA
We jamaa muongooo kufuru.
Israeli iliua baadhi ya wanasayansi wa Iran kwa kupandikiza magnetic bombs lakin hawajawahi kulipua vinu vyovyote vya nuclear vya Iran.
Hadi leo hii wanaitafuta secret weapon tunnel hao waisrael wako hawaijui ipo ground ipi.
 
Heheheheeh
Mkuu Kuna mtu aliitwa Sadam Hussein alitisha kuliko Iran na alijitapa kuliko maelezo but... alinyofolewa unyoya.. Vita vya kuzingirwa visikie tu na ubabe wako lazima ukae chini... maana supply line ikishakatwa hata yule anayekusaidia anakuacha uangamie... Vita watu wanalenga maghara ya silaha yote so ukiishiwa na silaha huwezi pigana na manati au mawe kama wapalestina walivyoishiwa... Wanaokataa vita ni wa kuwapa heshima na wajeuri shauri zao... wamechagua upande waupendao
Mkuu Saddam Hakuwahi Kutisha Kwasbabu

Anatishaje wakati hakuwahi kutengeneza hata baruti

Zana zake zakivita zote alizokua anazitegemea kuingia nazo vitani zilitoka huko huko kwa hao walomgeuka

Usi Ifananishe IRAN Namambo Yakipuuzi Mkuu
 
Kununua silaha siyo shida hata marekani hununua silaha, shida ni silaha gani unatengeneza, high tech zaidi ya kumshinda mmarekani? Iran anasaidiwa kisirisiri na Mrusi, Mchina na Korea Kaskazini na hawawezi kumpa technolojia yote, usidanganye Iran siyo super power.
Silaha anazonunua US inategemea.
Us hanunui silaha kwa kiasi kikubwa bali ananunua silaha za tech kubwa na kuzimodify.
Libya alikua akinunua silaha 100% hana anachotengeneza.
Usimfananishe na Iran anayeunda silaha mwenyewe.
Halafu mkuu uongo kidogo punguza.
Wanaomuuzia tech Iran hawamsaidii bali wanamuuzia na Iran inafanya modification ni Russia na China tu.Hyo North Korea yenyewe inatoa tech kwa China.
 
Mkuu Kuna mtu aliitwa Sadam Hussein alitisha kuliko Iran na alijitapa kuliko maelezo but... alinyofolewa unyoya.. Vita vya kuzingirwa visikie tu na ubabe wako lazima ukae chini... maana supply line ikishakatwa hata yule anayekusaidia anakuacha uangamie... Vita watu wanalenga maghara ya silaha yote so ukiishiwa na silaha huwezi pigana na manati au mawe kama wapalestina walivyoishiwa... Wanaokataa vita ni wa kuwapa heshima na wajeuri shauri zao... wamechagua upande waupendao
Mkuu huyo Saddam Hussein alipigana na Iran vita vya miaka nane akisaidizwa na USA kipindi hiko Iran ina jeshi changa la mapinduzi lakini Saddam Hussein alisanda.
Iran namba nyingine mkuu.
Halafu ubaya hakuna anayefaham maghala yake ya silaha ndan ya Iran yapo position ipi.
 
hayo ya drone mbona yalikuwa yameshapoa, kinacho escalate mambo sasa hivi ni kulipuliwa kwa hizo site za mafuta za Saudia na hao wanaodaiwa kuwa waasi wa Houthi, ambao wapo backed na Iran, hata kama Iran hajalipuwa yeye moja wa moja atakuwa anahusika kwa kuwa yeye ndio anayewafadhili hao waasi,
Watu hawataki vita lakini uvumilivu una kiwango chake
Hivi mkuu nan mgomvi kati ya Iran na USA na washirika wake???
Hivi haujui km Iran ndiye aliyekua anachokozwa toka muda???
Wanamtafutia sababu na sababu zipo teeele ila Hassan Rouhani sio Saddam Hussein.
 
Nimesoma comment nyingi umu lkn naona wengi wenu amuelewi madhara ya vita na wengi wenu amuelewi kwamba uwez kuingia vtan kioleleolea 2
 
Trump is weak and afraid, naanza hisi hata jeshi la Marekani sio la kuamini sana
😂😂😂 Duh umetoa ya moyoni mkuu!!
Kaishia kutangaza vikwanzo kasema yeye hawezi mpiga anaye taka kumpiga Iran ampige mwenyewe yeye hayumo 😂😂😂
Ndio maana yeye kwa Iran vikwazo tu na kukamata meli ya Iran bado Ana hofu!
 
Pale Middle East Iran tu ndio nchi inayo weza simama kumbishia US
Ila watu mjue kuna tofauti ya kubishi na kushinda..

Kwa nini Iran haina marafiki middle East, na anachukiwa na Israel Iran ndio nchi pekee ilio baki ikipigania maslai ya Palestina wengibe waLisha mtosa mwarabu mwenzao

One on One Israel na Iran, Israel ana kalishwa... Sema Protection from Us ndio ina mpa kibur Israel
Israel level zake ni Palestina na Syria Lebanon, Jordan, na Misri ya siku hiz sio Alafat
 
No mm hapo cjazungumzia Russia na USA kuwa watapgana ila kuna m2 nlkuwa na mjb kuhusian na mRussia wakiungan na China hawawez kumpg USA ndo lengo lang kuu la kumjb huyo m2
kwa hiyo kwa akili yako unadhani, Russia ata risk kuingia kwenye vita na Marekani kisa Iran? unajua gharama ya kuingia kwenye vita hiyo, Russia ni mjinga wa kuingia kwenye vita na nchi yenye jeshi na uchumi mkubwa zaidi duniani kwa ajili ya Iran? hahaa
 
Back
Top Bottom