Kitabu Kipya: 'Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru' Chatoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitabu Kipya: 'Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru' Chatoka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by X-PASTER, May 24, 2010.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  May 24, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Kitabu Kipya: 'Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru' Chatoka

  Taarifa imeletwa kwangu na mdau mmoja kuwa kitabu kijulikanacho kwa jina la 'Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru, Zanzibar Na Mapinduzi Ya Afrabia' kimetoka na kinaweza kupatikana kwenye anuani hii Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru! Mwandishi wa kitabu icho ni dkt. Harith Ghassany kinaweza kusomwa moja kwa moja kupitia mtandaoni.

  Kusoma kitabu hichi, tafadhali tembelea weblog yake ya Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru! Jitihada zinafanywa ili msomaji aweze kukichota chote moja kwa moja kupitia mfumo wa pdf, lakini kwa sasa weblog hii inawezesha mtu kukisoma ukurasa kwa ukurasa.

  Kwa wale watakaopenda kupata nakala halisi ya kitabu, wanaombwa wawasiliane na mwandishi au kupitia mtandao wa www.lulu.com

  Nyote mnakaribishwa.
   
 2. F

  Firdous Member

  #2
  May 25, 2010
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi

  I need a copy please, Very urgent. Kinapatikana wapi huko Zanzibar nimtume mtu wangu
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Heshima kwako X-paster,

  Nimeanza kusoma mpaka mlango wa tatu ikanibidiniishia hapo kwasababu kitabu chenyewe kinatukuza uarabu na uislamu na kudharau kazi/mipango iliyoasisiwa na wakristo.Kwa mfano majina ya waarabu/muislam mwandishi anaanza kwa kweka maneno mtukufu xyz lakini hafanyi hivyo kwa watu wa dini nyingine au wabantu.

  Kwa ufupi ni kitabu kinachofaa kusomwa kwenye madrassa.
   
 4. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Asante mazee ngoja tukipitie.....
   
 5. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  najaribu kuona wapi kitabu kilipochambulikwa kama karanga as per Pasco's statement
   
 6. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2014
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  Mwenye pdf ya hiki kitabu atuwekee Kisomwe na wengi..
   
 7. mzenjiboy

  mzenjiboy JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2014
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Jaribu Masomo Bookshop pale Empire cinema. 📙
   
 8. Pyepye

  Pyepye Member

  #8
  Jun 2, 2014
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  pakua na ujisomee mwenyewe kitabu cha [FONT=&quot] Harith Ghassany [/FONT] kiitwacho "kwaheri ukoloni, kwaheri uhuru"
   

  Attached Files:

 9. Nsame

  Nsame JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2014
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 457
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  asante sana ndugu yetu mwenyezi mungu akujaze kheri nyingi.
   
 10. Bobwe1

  Bobwe1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2014
  Joined: Apr 8, 2014
  Messages: 396
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni lini nyerere aliwahi kuwa padri?
   
Loading...