Kitabu hiki kinatafutwa sanaaa msaada wako plzz

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,274
2,000
Sasa wewe unatafuta nini? si umeshaweka link? au unatafuta tuifate hiyo link wewe uingize senti mbili?

Mijitu mingine hovyoooo!
 

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,115
2,000
Sasa wewe unatafuta nini? si umeshaweka link? au unatafuta tuifate hiyo link wewe uingize senti mbili?

Mijitu mingine hovyoooo!

mbona unamaneno makali sana ??
mm nakitafuta kwa hapa bongo nimeweka hiyo link ili watu waone ni nn natafuta sababu picha ni zaidi ya maneno.

na hicho kitaabu wanakiuza garama sana na mm siwezi garama hizo ndio maana nikaomba msaada hapa jamvini unaweza ona kuna member anacho au alisha wahi kukutana nacho sehem?
wao wanakiuza USD 650 +shipping charge usd 50=700 ni pesa nyingi sana kwangu.
coz mm sitaki kukifanyia biashara but kwaajili ya kujisomea tuu.

ELIM HAINA MWISHO?

why ww unakuja na kubwata kama ..........
 

Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
2,851
2,000
Toyota Workshop & Repair Manuals - Page: 1

enge kuna majitu humu,inatakiwa iwekwe mirembe hospital tena grade one huyu faiza mbwa mwitu nnaona ni kichaa,wewe ni mtu wa pili kukoment utumbo.hichi kitabu ni mkusanyiko wa data mbalimbali ambazo zote zinapatikana online for free.So unachotakiwa ni kuni inbox unataka nini hasa kisha ntakurushia boss wangu
 

Stefano Mtangoo

Verified Member
Oct 25, 2012
4,367
2,000
LEGE wewe ni fundi na ufundi huo unakupatia pesa.
Unaona shida gani kununua kitendea kazi kitakachokuingizia fedha?
Unaonaje mtu ukamtengenezea gari yake somehow "akapitia torrent" ili asikulipe?
Ndio maana Watanzania tunajikongoja sana.... mpe mtu iliyo haki yake!
 

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,115
2,000
LEGE wewe ni fundi na ufundi huo unakupatia pesa.
Unaona shida gani kununua kitendea kazi kitakachokuingizia fedha?
Unaonaje mtu ukamtengenezea gari yake somehow "akapitia torrent" ili asikulipe?
Ndio maana Watanzania tunajikongoja sana.... mpe mtu iliyo haki yake!

mkuu unachoongea ni kweli kabisa na upo sahihi kabisa lakini mm bado mchanga sana kwenye ufundi nahitaji kujiongeza kwanza kwa basic then baadae mbona nitanunua tuu.
kiukweli kwa sasa sina uwezo huo ndio maana natapatapa huku na huku kutafuta japo elim kwanza .
maana garama za hicho kitabu sio chini ya milion 1 so kwa mm hiyo 1 milion ni kubwa sana kwa kununua kitabu.uwezo huo sina mkuu.
nashukuru kwa ushauri wako.
nakutakia x mas njema.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom