Kifahamu kitabu cha kishetani

Kifahamu kitabu cha kishetani

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,392
Reaction score
7,873
Kitabu Hiki Kinaitwa The Necronomicon, ni Kitabu cha Kishetani Kilichoandikwa Miaka 1500 Iliyopita. Inaelezwa Kuwa Vitu Unavyosoma Humo Hukutokea Kweli Kihisia, Inaelezwa Mwanandishi wa Kitabu Hicho Hakuwa Mtu wa Kawaida, Waandishi Wengi Waliokitafsiri Wamekuwa Vichaa.

Hiki ni kitabu cha imani ya kishetani na kina mambo mengi ya kuogofya na ukikisoma mambo hayo inaelezwa hutokea kweli!! ni mambo ya mizimu na mauzauza, ukiwa unasoma au kutazama picha zake humo kinakupeleka kukiona kweli unachotazama kupitia hisia!, kuna imani ya ajabu inakuingia.

Kinakadiriwa kuandikwa tangu miaka ya 800 A.D kwa lugha ya ajabu na kumekuwa kukitajwa waandishi wengi walioandika kitabu hiki miaka hiyo ya kale na mmoja wapo ni Abdul Alhazred raia wa YEMEN.

Kitabu hiki kilikuja kutafsiriwa na kuandikwa upya na mmarekani h.p. lovecraft aliyekua mtaalamu wa kutafsiri mambo ya kimiujiza mwaka 1927 na kutolewa rasmi mwaka 1938. Hakuna mtu mwingine aliyeweza kukielewa kiufasaha zaidi yake tuu.

Lovecraft alikua ni mwandishi maarufu wa stori za kutisha/kimizimu raia wa US na alikua akichukua baadhi ya mambo katika kitabu hiki na kuyaandikia katika stori zake.

Alifariki mwaka 1937 kwa saratani ya utumbo kabla hata kitabu alichokitafsiri hakijatoka,
baada ya lovecraft kufariki kuna waandishi wengi waliojaribu kukisoma kitabu hiki cha ajabu na kuhitaji kukitafsiri katika vitabu vyao lakni inaelezwa hakuna aliyeweza zaidi ya Lovecraft pekee.

Mpaka leo haijulikani mwandishi huyo wa kale Abdul Alhazred aliandika mambo hayo kwasababu gani, na ni kwa lugha gani, na iwaje ukiyasoma yanaanza kukuingia kweli? hakuna anayejua.

Kwa mujibu wa Lovecraft kabla hajafariki aliwahi kusema kwamba hata mwandishi wa kitabu hicho (Abdul Alhazred) hakua mtu wakawaida, alikua mtu wa kishetani toka akiwa mtoto!, hii ni kwa mujibu wa jinsi alivyokisoma Kabla hajakitafsiri.

Kitabu hiki kwasasa kipo chini ya 'Arkham House', hii ni kampuni ya kimarekani ya uchapishaji vitabu vinavyoelezea imani za ajabu ajabu

FB_IMG_1668089165556.jpg
 
Sasa hao wanaojaribu kukitafsiri baada ya huyo mwamba aliefariki 1937, wanatafsiri nini wakati kimeshatafsiriwa!??
 
View attachment 2412506

Duh!
 
Tutafsrieni Kwa kiswahili wakuu
 
umenikumbusha sigiri na lugha moja zilizotoka mali,misri pamoja na ugiriki
 
Back
Top Bottom