Kitabu cha Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe

Kitabu cha Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe

stone boy

Senior Member
Joined
Dec 25, 2015
Posts
107
Reaction score
19
HABARI? wanafr naomba kuuliza na mwenye kunisaidia aweze kunisaaidia. kuna kitabu cha tamthiya kinaitwa ngoswe penzi kitovu cha uzembe kinafundishwa elimu ya sekondari. naweza kupata kikiwa (soft copy) kama vile audio au video. kwani ninasikia zipo
au kama kuna njia ya kuwenza kudownload na kupata hiki kitu ninashida nacho
 
Duuuu elimu buree na softcopy tukupe buree hapanaaa ingiaaa dukan vpo vng tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom