Kitabu cha Nabii Amosi

Kitabu cha Nabii Amosi

apostleonesmodeus

New Member
Joined
Mar 15, 2025
Posts
2
Reaction score
1
Je kitabu Cha nabii Amosi kimejikita hasa kwenye Nini na uhusiano wake na maisha ya jamii na kanisa la leo. Tunaweza tukashare idea kwa yeyote anayejua na kufahamu.
 
Kimejikita kwa wana waisraeli na hukumu zao ,kwa kanisa la leo linakuhimiza uwaone wana wa Israel ni watu maalumu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom