Kitabu cha English Language 1 kwa vidato 5 & 6 (HKL/HGL)

Goodluck Mshana

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
1,271
1,119
Habarini wadau katika Elimu!

Naomba kuwasilisha kwenu kitabu kipya cha English Language 1 kwa vijana wetu wa Kidato cha tano na sita hasa kwa wenye michepuo ya sanaa (HKL na HGL).

Ni kitabu kipya kilichotungwa na mtunzi na mbobezi wa muda mrefu wa somo hilo la Kiingereza! Kitabu hiki kimezingatia matakwa ya silabasi/syllabus ya Tanzania ya mwaka 2010 inayotumika sasa. Kimejikita kwenye mada/topics 14 (kikikiwa na kurasa 400) ambazo zitamjenga na kumpa mwanafunzi confidence ya kufanya Mitihani yake ya ndani, nje na ya Kitaifa.

Karibu sana mzazi/mlezi/mwanafunzi uweze kujihakikishia ufaulu wa somo lake la English Language 1.

Kitabu kinauzwa Tsh. 30,000/- kwa nakala moja. Kwa wenye Bookshops na wanaotaka Uwakala ndani na nje ya Dar es Salaam mnakaribishwa sana! Tafadhali wasiliana nasi kupitia 0717935721 na kitabu kitakufikia ulipo!
IMG_1937.JPG
IMG_3529.JPG
CFAE89DD-C913-45C2-A28B-0EF533077CB8.jpg

Mr. Goodluck Mshana (Mwandishi)
0717935721
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shauri uongozi wa Shule ununue hiki Kitabu!
IMG_4039.JPG
Kipo kwenye Ofa kwa sasa! Karibuni
 
Topics 14 mkuu .mbona language 1 zpo kama 6 or 7 hv

Sent using Jamii Forums mobile app

Samahani nimechelewa kujibu swali lako! Kiuhalisia ukiangalia kwenye Syllabus itakuonesha idadi ya hizo Topics ulizotaja ama zaidi kidogo! Kitabu hiki kimeenda extra mile na kuongeza baadhi ya mambo ambayo kwenye Syllabus hayapo lakini ukija NECTA yanakuwepo! Kwahiyo ni Kitabu ambacho kimejitosheleza na mwanafunzi hatolazimika sana kusoma mavitabu meeengi ilihali kila kitu kimejadiliwa humo! Karibu sana Mkuu!
 
Back
Top Bottom