Natafuta Mwekezaji wa Kitabu changu cha ENGLISH GRAMMAR

Hell2Heaven

Senior Member
Mar 3, 2021
166
452
Ndugu wana JamiiForums

Nimeandika kitabu cha English na kimesha fanyiwa Editing na wataalamu wa Harvard University na Manhantan University .. ambao no Phd na Wasomi wa Linguistics. Kwa sasa kimekamilikia kila kitu. Kipo kwenye soft copy ila napelea Mtaji wa Kukiprint ili kifanyiwe Distribution kwenye Bookshops, library na Kusambazwa mashuleni.

Naombeni pia wa wenye idea ya jinsi ya kusambaza mikoni kwenye bookshops waniambie strategies zinakuwaje.

Naombeni kwa mwenye kujua investors wanao husika na Vitabu vya mashuleni mnipe mawazo. Kitabu hichi ni mahususi kwa Wanafunzi wa Olevel.. kwa maana ya Form 1 mpaka Form4.
 
Kama ni soft copy nakushauri kipandishe Amazon maana mswahili kununua vitabu ni mbine sana halafu kupata mtu aweke pesa yake kwenye makaratasi ni big mziki.
 
Nimepandisha Amazon ila nahisi kuna contradictions sana kwenye mfumo wa Payoneer kwenye malipo.. hawataki ku aprove credentials zangu ili wanipe account number niwape Amazon ili wanilipie uko.. so nikaona muda una enda nikaona ni upload tu kitabu nikitegemea uko baadaye nitafanikiwa kupata jibu la Payoneer acc..

kama una uzoefu wajisi ya kuwafanya peyoneer wafanye process ya acc ulifanyaje wewe!!?

Asante
 
Mkuu mbona Payoneer hawana masharti mengi wewe umekwama wapi? Walishakutumia kadi yao?
 
Hapana... hawaja nitumia.. alafu nilitegemea wanipe ata Acc number ili niitumie kule Amazon kwa malipo ila .. wako kimnya tangu nilipo fungua wali nitumia email ya kunipongeza kuwa tayari acc yangu ipo tayari lakin kwenye kuverify ndio nikatakiwa ni upload doc za bank acc ya nchin kwangu kisha ni inginze na number za ID ya national ili wanipe bank acc yangu ya payoneer lakin mpaka leo kimnya na nilisha wauploadia walicho taka kwangu
 
Mh! Mimi Nina kadi ya Payoneer kitambo Sana hawakuwa na masharti hayo
 
Nimepandisha Amazon ila nahisi kuna contradictions sana kwenye mfumo wa Payoneer kwenye malipo.. hawataki ku aprove credentials zangu ili wanipe account number niwape Amazon ili wanilipie uko.. so nikaona muda una enda nikaona ni upload tu kitabu nikitegemea uko baadaye nitafanikiwa kupata jibu la Payoneer acc..

kama una uzoefu wajisi ya kuwafanya peyoneer wafanye process ya acc ulifanyaje wewe!!?

Asante
Mbona easy mkuu, kama hupati verification code wacheck kwa email. Payoneer ni wazuri sana kwakweli nimewatumia mwaka wa saba now.
 
Hapana... hawaja nitumia.. alafu nilitegemea wanipe ata Acc number ili niitumie kule Amazon kwa malipo ila .. wako kimnya tangu nilipo fungua wali nitumia email ya kunipongeza kuwa tayari acc yangu ipo tayari lakin kwenye kuverify ndio nikatakiwa ni upload doc za bank acc ya nchin kwangu kisha ni inginze na number za ID ya national ili wanipe bank acc yangu ya payoneer lakin mpaka leo kimnya na nilisha wauploadia walicho taka kwangu
mmmh! Wanakubali Hadi namba ya nida sio mpaka kadi, passport leseni maana walishaniambia kua bila hivyo hawataweza kuprocesss
 
Mkuu hiyo bei kwa nchi yetu iko juu mno. Mimi pia ni mwandishi na mfasiri wa vitabu vya Kijerumani na vipo kwnye online stores kubwa Kama Barnes and Noble. Jaribu kushusha bei.
Hiyo bai ni kwa amazon tu.. na masoko ya nje.. wabongo hawanunui vitabu kule.. nina mpango wa kuchapisha nianze kusambaza hardcopy kwenye stationary za TZ. kitauzika kwa elfu Tsh 10,000/= ila.kule amazon nime consider printing charges zao.. mfano hichi kitabu kina pages 317 kule amazon kina printiwa kwa $4.86 alafu uje kwenye makato yao ya 30% tena ndio nipate royalty yangu.. lakini pia nimefanya kautafiti cha kufuatilia nikagundua kule vitabu vingi vyao vya grammar ni kati $24 to $45 ndio maana mm nika weka only 15$ hii ni paperback.. lakin kwa eBook ni only $5
 
Mkuu hiyo bei kwa nchi yetu iko juu mno. Mimi pia ni mwandishi na mfasiri wa vitabu vya Kijerumani na vipo kwnye online stores kubwa Kama Barnes and Noble. Jaribu kushusha bei.
Ingia Dm nime ku text jambo .. kama itakupendeza .

Asante
 
Back
Top Bottom