Swali zuri.Kwa nini kitabu cha ki secular kinauzwa msikitini??
Mpwimbe,Mzee,
Wewe wazee wako hawakuwa na Jina la Ukoo.
Maana naona unaitwa Mohamed Said, majina ya Kiarabu.
Jamii yako haikuwahi kuwepo kabla ya ujio wa Mwarabu??
Maana tunajua Wazarami, Wanayakyusa, Wadengereko, Wamatumbi walikuwa na majina yao.
Yoda,Kwa nini kitabu cha ki secular kinauzwa msikitini??
Kumbe kwenu Kigoma?Mpwimbe,
Hili la majina ya wazee wangu na Uarabu yana uhusiano gani na mjadala huu?
Naweza kukupa majina ya vizazi saba nyuma hadi kwa wazee kutoka Manyema, Congo.
Mpwimbe,Kumbe kwenu Kigoma?
🤣🤣🤣🤣
Watu wa Kigoma ni changamoto sana
Unawapambia waislamu ili ionekane kuwa wana mchango mkubwa sana katika upatikanaji wa uhuru..Hapa jamvini kumekuwa na mjadala mkali kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika.
Watu wengi wamekuwa wakiniuliza kitabu kitapatika lini baada ya kuwa "out of print" kwa muda mrefu.
Nina furaha kuwafahamisha kitabu cha Abdulwahid Sykes kimewasili nchini na kwa sasa kinapatika Ibn Hazm Media Center Msikiti wa Manyema.
Mipango inafanyika In Shaa Allah kukitawanya kwenye maduka yao mengine Msikiti wa Mtoro, Mtambani na Kichangani.
View attachment 3623969
Kashang...Unawapambia waislamu ili ionekane kuwa wana mchango mkubwa sana katika upatikanaji wa uhuru..
Hapo unaleta udini mkuu..
Kwanza kwanini kiunauzwa msikitini?Kashang...
Lipi huliamini katika niliyoeleza
Kashang...Kwanza kwanini kiunauzwa msikitini?
Kashang...Unawapambia waislamu ili ionekane kuwa wana mchango mkubwa sana katika upatikanaji wa uhuru..
Hapo unaleta udini mkuu..
Chuo gan au coz gani gani chuoni wanatumia icho kitabu cha abdul skys cjui?Dallas,
Hapo kuna vitabu kuanzia shule ya msingi, sekondari hadi Chuo Kikuu.
Kitabu cha Chuo Kikuu ni hiyo Dictionary of African Biography (DAB) wamechapa Oxford University Press New York na kitabu cha Abdul Sykes kimechapwa na Minerva Press, London na Uamuzi wa Busara Abantu Publishers, Nairobi.
Vilivyobaki ni vya shule za msingi na sekondari.
Lakini ninacho kingine biography ya Sal Davis (Shariff Salum Abdallah) hiki kipo Amazon:
View attachment 3624061
Dallas,Chuo gan au coz gani gani chuoni wanatumia icho kitabu cha abdul skys cjui?
Blue...Kinauzwa misikitini; means, walengwa wanunuzi ni Waislamu.
Kwanini kinauzwa misikitini tu ,badala ya maduka ya vitabu vya wazi?Hapa jamvini kumekuwa na mjadala mkali kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika.
Watu wengi wamekuwa wakiniuliza kitabu kitapatika lini baada ya kuwa "out of print" kwa muda mrefu.
Nina furaha kuwafahamisha kitabu cha Abdulwahid Sykes kimewasili nchini na kwa sasa kinapatika Ibn Hazm Media Center Msikiti wa Manyema.
Mipango inafanyika In Shaa Allah kukitawanya kwenye maduka yao mengine Msikiti wa Mtoro, Mtambani na Kichangani.
View attachment 3623969
Jibu ...Kwanini kinauzwa misikitini tu ,badala ya maduka ya vitabu vya wazi?