Ngwathra
Platinum Member
- Jul 11, 2007
- 6,994
- 14,186
Mzee wangu utakua na stress sana nahisi, tangu umeanza kuandika haya mambo ya kutambulisha hizi jamii zako za kariakoo na masisiemu hata hayaelewi nimeanza kuona miaka mingi sana, nasikitika sana. Nasikia tu mara Mshume, Kiyate, Sykes, takadiri, Tambaza, Azizi, etc na Nyerere alivyowapindua, sijaona tija unayopata, kwa kuwa mama ni ndugu moja kwa nini usimpelekee tu ikulu, coz sisi kenge kama wanavyotuita hata hatusomi tukamaliza au kupata concept tu. au mpe mwaipopo na jeshi lake la chui watafikisha tu hatimaye historia itapindishwa tu na watakukumbuka! Nasikitika hizi stress zitakumaliza kabla ya siku zako, sorry km ipo personal sana ila I feel it na navaa viatu vyako ati!