Kitaalamu hii inaitwaje?

Kitaalamu hii inaitwaje?

Unamdai mtu alafu siku ya rejesho anakutumia tafadhali nipigie, huyo atakulipa ila kwa kuchelewa, ushauri wangu usimuongezee pesa mtasumbuana.
 
maana yake yeye anauhitaji wa hela zaidi kuliko wewe. regardless ya sababu kama ni positive au negative
This time alitaka nimkopeshe 80k anunue bundle, hapo 300k ndo nlmkopesha na hajanipa ni mwezi sasa na zaidi
 
Kama unaweza kusamehe samehe halafu piga kimya kama anajitambua atajirudi akila buyu inakua umesamehe tena. Ni njia Bora ya kuwapunguza watu wasio sahihi katika circle ya watu wa karibu.
 
Katika maisha yako
 
Kumsamehe siwezi naitaka sana hiyo pesa
 
Back
Top Bottom