KISWELE COACH (Dar-Songea)!

KISWELE COACH (Dar-Songea)!

Nashangaa wadau hapo Juu wansema ya Lindi ina unafuu. Songea tu mpaka uitafute Lindi ni 500+km, uanze tena Lindi tu Dar..
Ya Lindi ni mbali. Mimi nimepanda basi njia zote 2 na kuendesha private njia hizo zote. Ya Lindi ni mbali lakini unawahi kufika kwa sababu hakuna msongamano wa magari na hakuna milima mikubwa. Ya Iringa magari ni mengi na milimi mikubwa, kitonga na Lukumburu
 
Back
Top Bottom