Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 552
- 1,117
Kiarabu vs Kiswahili
Izo nchi zenye watu majority wanaongea Kiarabu;
Egypt=110M
Libya= 7M
Tunisia=12M
Algeria=45M
Morocco=40M
Sudan=50M
Jumla=264M
Kiswahili; nchi wanaongea wengi Kiswahili kwa ujumla
Tanzania=68M
Kenya=55M
Uganda= 50M( ila kama asilimia 30%)
Rwanda=13M( kama asilimia 10%)
Burundi= 12M( kama asilimia 10%)
DRC=112M( kama asilimia 40% mashariki ya Kongo)
Na asilimia chache Msumbuji, Zambia, Malawi, Somalia na visiwa vya Comorros
Jumla= 188M