Kiswahili sanifu cha Lobbying and Advocacy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiswahili sanifu cha Lobbying and Advocacy

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Amavubi, Apr 30, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,446
  Likes Received: 4,730
  Trophy Points: 280
  Jamani mtanisamehe kama hili lilishaulizwa lakini itakuwa pia kwa faida ya wale ambao hawakuona hapo kabla, haya maneno naona yamekuwa yakitumiwa kwa maana nyingi tofauti, je kuna mwenye kiswahili sanifu? kama ukiweka na chanzo itakua vyema zaidi
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Lobbying= Ushawishi

  Advocacy= Utetezi
   
 3. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,405
  Trophy Points: 280
  Advocacy ni uraghibishi.
   
Loading...