Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu

I don't think so.. Think.. People invent things because there is great need for them. Huwezi kutafuta suluhu ya tatizo fulani bila ya wewe kupatwa name hilo tatizo.. I guess
 
Hekima huja siyo tu kwa kuona matendo yasiyo na busara.

bali hekima hujipambanua katika umbo la uelewa, busara na ufahamu. hekima hiyo mara nyingi iko tiyari kusikiliza sauti na hisia kali kutoka moyoni. Miongoni wa sauti hizo ni ile nia yakutafuta ukweli na kupata mawazo endelevu kutoka na kazi unayoenda kuifanya.
sauti hiyo ina nguvu kubwa sana kama muhusika ataisikia nakuifanyia kazi

hekima hupata kwa watu wamatambaka yote
wazee
vijana
wanawake
masikini
matajiri
viongozi n.k

Mugawanyo wa matabaka hayo havihukuma mgawanyo wa hekima na busara ndani ya wanajamii ndani ya mioyo na mawazo yao

Bali kinachotokea hapa ni mitazamo tofauti na mawazo yao, kutokana na hali hiyo ndio tunapata maneno, misemo nahau,na methali juu ya maisha,dini tamanduni, kazi, vichochenzi vya maendeleo, mapenzi n.k

misemo pamoja na vitu vingene vipo kwa ajili ya kuchochea na kuendeleza gurudumu la maendeleo katika jamii
misemo hiyo ina nguvu za kumfanya mtu aweze kuthubutu kufanya kile alichokusudia.
 
Wadau, naombeni mnisaidie maana ya methali hizi mbili, hasa mnijuze maana ya neno 'mkele' ni nini hasa katika muktadha huu. Natanguliza shukurani zangu:

  1. Mkele haendi mbele, akienda mbele na kujaza mchele jahazi, atarudi na upele
  2. Mkata hendi Mkele na angenda Mkele a Id paid a jahazi mtele (mchele) tele hurudi na upele
 
Baadhi ya methali ukizielewa vibaya zinaweza kukupotosha.
Mfano;

1.Haraka haraka haina baraka.
2.aliye juu mngoje chini.

Napendekeza ziwe hivi

1'.Papara haina baraka.
2'.Aliye juu mfate huko huko.

Methali zingine tata ni zipi?
Na unapendekeza ziweje?

Ongezea nahau na misemo tata unayoijua na unavyopendekeza iwe.
 
1. Amchukuapo hamrudishi............
2. Mama wa kijani watoto wekundu........
Msaada viongozi.
 
Wanajopo mwanangu kaniletea vitendawili hivi nimeshindwa.
1 Kiangazi chote nalala, yakija masika nakesha
2 Inaonekana mara mbili ktk dk 1, na mara moja tu kwa mwaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom