Kiswahili cha Kenya

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,107
2,506
1. Mtu Nguwa, hii njewere nimependa sana...
2. Nyuruchi iko huku
3. Msupuu wa Kamau anajua kukata cat walk
4. Endeleeni
 
Hapo sijambulia kitu au hiyo ni Sheng'

Kiswahili cha kenya = Nipe Maandazi Mbili
 
1.nasema ukuje pande hii ! 2.macho haiko na nguo ya mlango 3.. Watu ya mwalim na watu ya moi inaogopa al shabab.
 
Kiswahili ya kenya ipo super sana, hata tz guys wana appreciate sana!

Yes !
Wewe ako right! Joo unajua sisi wakenya hata kama tuko na mastress mob hatukuwangi na mudomo ndefu! Tunarimein sailensi !
Sie tuna stick kufaind doo za kukula bai the wei!
Hatuweit mpaka buda akusongeshee ma'doo zake. Hata Nyanyaangu bado anahaso kufaind doo na ni mudosi .
 
Tafasiri tafazali !
Btw Judgement ushawahi kula "githeri" na 'sukuma wiki"?
 
Last edited by a moderator:
Yes !
Wewe ako right! Joo unajua sisi wakenya hata kama tuko na mastress mob hatukuwangi na mudomo ndefu! Tunarimein sailensi !
Sie tuna stick kufaind doo za kukula bai the wei!
Hatuweit mpaka buda akusongeshee ma'doo zake. Hata Nyanyaangu bado anahaso kufaind doo na ni mudosi .

Judgement haumezei lakini una try, ukijisunda eastlando hautanyita ene mtu nguya, kwanza maboy wakiwa veve wakidai kuchapana ngeta ama kuku munch. Ni kufyam jo, hii sheng inachange daily brathe, ndio maana hawatawai legalize hii sh*t.
 
joo njoo huku makejani masee tuna veveka, mtoi ana ma haga mazee mi nime mnock mbaya,eeeh buda siututembezeage na sisi iyi mneli....
 
Back
Top Bottom