KISUTU, DAR: Kesi namba 457 (Jamhuri v JamiiForums) yaahirishwa kwa kukosekana shahidi wa Jamhuri

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Wakuu,

Leo kesi namba 457 (inayohusu Kampuni za CUSNA Investment na Ocean Link kudaiwa kukwepa kodi bandarini, kuchonga nyaraka kutorosha makontena na kunyanyasa wafanyakazi wa kitanzania) imeahirishwa katika Mahakama ya Mkazi, Kisutu jijini Dar kutokana na upande wa Jamhuri kutokuwa na shahidi.

Kesi hii imepigwa kalenda hadi Februari 15, 2018 kwa ajili ya kusikilizwa.

Tayari mashahidi watano(5) wameshasikilizwa katika kesi hii.

Kujua ilikotokea, soma: Kesi dhidi ya JamiiForums: Shahidi wa nne na tano wasikilizwa, ushahidi wa printout wakataliwa na mahakama!
 
Informer,
Wasitucheshee Maxence Melo wamuache afanye kazi aisee hawa vipi si wahangaike na kesi huko mahabusu kuna watu wanamiaka 20 kesi za wizi wa mabata mitaani wanaozea jela na wengine wamebambikiwa kesi kwanini hawahangaiki nao kesi hii yenyewe ya kimagumashi tu
 
Hamna kesi hapo.

Bahati nzuri haina uhusiano na kutakatisha fedha. Imekuwa sheria imayotumika kuwaweka watu mahabusu bila dhamana.

Haya yote yatapita but at what a cost!
 
Hamna kesi hapo.

Bahati nzuri haina uhusiano na kutakatisha fedha. Imekuwa sheria imayotumika kuwaweka watu mahabusu bila dhamana.

Haya yote yatapita but at what a cost!
Ameeen
 
Back
Top Bottom