Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 16,707
- 11,397
Hiyo ni njia ya kuhepa tu coz hamna chochoteWakenya mnapenda mapicha picha, huwez kuta haya mapicha Tz mayb ingia youtube uchek video
Hiyo ni njia ya kuhepa tu coz hamna chochoteWakenya mnapenda mapicha picha, huwez kuta haya mapicha Tz mayb ingia youtube uchek video
ashahepa, achana naye. Ni kelele tu ndio Wanajua ila hakuna kitu wako nayoHey, I'm waiting for you
Leo nimepita town nimeona zingine tano ambazo sikuzitaja hapo tatizo la arusha kuna foleni siku hizi nashangaaNyuma ya Dar kwa Tzn ni Arusha hiyo mwanza ni level ya Dodoma hamna kitu zaidi Lundo la watu hohehahe
Kwa upande wa barabara hususani interchange io kweli kisumu imeendelea hongera kwao ila pia upande wa building over 10floor arusha inaizidi kisumu
Ko apo ngoma droo labda tuingie kwenye another issues
Google ayo maneno utazipata nyingine nkipata time ntakupigia picha kesho na sio nlizokutajia tu ziko almost 20 buildingsLeta picha ya hizo nyumba. Without pics all your words will be regarded as vague.
Kwa manyumba Arusha itangoja sana ili ifikie Kisumu.Google ayo maneno utazipata nyingine nkipata time ntakupigia picha kesho na sio nlizokutajia tu ziko almost 20 buildings
Dah okay bro umewinKwa manyumba Arusha itangoja sana ili ifikie Kisumu.
Dah okay bro umewin
I said okay maana hukubali defeat arusha nimekutajia more than 16 buildings kisumu umesema only 11 na hapo hujazitaja ila bado umegoma kukubali na kwenye airport kisumu anabeat arusha ila arusha iko served na kia na arusha airport remind u kia iko between arusha and kilimanjaro only 40+ kmTuende airport sasa
Tuende residential houses sasaI said okay maana hukubali defeat arusha nimekutajia more than 16 buildings kisumu umesema only 11 na hapo hujazitaja ila bado umegoma kukubali na kwenye airport kisumu anabeat arusha ila arusha iko served na kia na arusha airport remind u kia iko between arusha and kilimanjaro only 40+ km
I think Kisumu has a better chance of becoming the next Nairobi. The government should invest heavily in Kisumu and finally decongest Nairobi .Kisumu beats Arusha and mwanza even in residential areas
View attachment 1203116View attachment 1203117View attachment 1203118View attachment 1203119View attachment 1203120View attachment 1203121View attachment 1203122View attachment 1203123View attachment 1203124View attachment 1203125View attachment 1203127View attachment 1203128
Jiji halina roads za maana unategemea nini,wabongo hata kuiga miji ya Kenya na Ghana inashindikana?Leo nimepita town nimeona zingine tano ambazo sikuzitaja hapo tatizo la arusha kuna foleni siku hizi nashangaa
Battle ya Arusha vs Kisumu,vs Nakuru na vs Eldoret ina sound lakini sio mwanza maana mwanza haina kitu cha kushindana na Kisumu still mwanza ni kijiji kikuubwa chenye watu wengi hohehaheI said okay maana hukubali defeat arusha nimekutajia more than 16 buildings kisumu umesema only 11 na hapo hujazitaja ila bado umegoma kukubali na kwenye airport kisumu anabeat arusha ila arusha iko served na kia na arusha airport remind u kia iko between arusha and kilimanjaro only 40+ km
Road works kwa arusha ndio zimeanza after few years kutakuwa na network kubwa ya barabara za kisasa arusha haijalishi n dual au za kawaida example by pass ya arusha ya 42.1km sio dual ila n road moja nzury vibaya mno yani ukipata time ya kufanya rolling na gari unaona uko mambele naa kuna mianzini to ngaramtoni 18km na yenyewe inaanza kujengwa itakuwa moto ila m kama kwa upande wa majengo kisumu ni beautiful ila kwa majengo arusha inaipita io kubalini na swala la estate arusha estate zipo nyingi ila siwezi shindanisha na kisumu maana kenya watu wanapenda kuishi kwenye nyumba zilizokamilika na kununua au kupanga but in tz tunapenda kununua eneo then uanze kujenga unachokipenda so ina kuwa different plus kuna parts za arusha kama uswahilini na engo hazijapangika kabisa izo ila kwingine kuna nafuu mfano m nakaa mianzini hakujapimwa ila sio uswazi hata kidogo ko in estate arusha na kisumu huwezi linganisha kutokana na preference za watu wake na kuhuusu airport labda mkaze kichwa ila arusha kia na kisongo airport zote zinahudumia jiji kwa io tuko ahead of you remind u distance from kia to arusha n 40+ km sijui tumeelewana apo mkuu sijashindanisha apo nimefanya comparison nzuryJiji halina roads za maana unategemea nini,wabongo hata kuiga miji ya Kenya na Ghana inashindikana?
Apo sibishi ila mwanza ina uwezo wa kuja kuwa kama mombasa ila bado watu wake n wa hali duni na uwekezaji unaofanyika bado haujatosha unatakiwa ufanyike uwekezaji mkubwa kama dodoma ila mwanza iamke iwe giant mwingine wa EABattle ya Arusha vs Kisumu,vs Nakuru na vs Eldoret ina sound lakini sio mwanza maana mwanza haina kitu cha kushindana na Kisumu still mwanza ni kijiji kikuubwa chenye watu wengi hohehahe
Road works kwa arusha ndio zimeanza after few years kutakuwa na network kubwa ya barabara za kisasa arusha haijalishi n dual au za kawaida example by pass ya arusha ya 42.1km sio dual ila n road moja nzury vibaya mno yani ukipata time ya kufanya rolling na gari unaona uko mambele naa kuna mianzini to ngaramtoni 18km na yenyewe inaanza kujengwa itakuwa moto ila m kama kwa upande wa majengo kisumu ni beautiful ila kwa majengo arusha inaipita io kubalini na swala la estate arusha estate zipo nyingi ila siwezi shindanisha na kisumu maana kenya watu wanapenda kuishi kwenye nyumba zilizokamilika na kununua au kupanga but in tz tunapenda kununua eneo then uanze kujenga unachokipenda so ina kuwa different plus kuna parts za arusha kama uswahilini na engo hazijapangika kabisa izo ila kwingine kuna nafuu mfano m nakaa mianzini hakujapimwa ila sio uswazi hata kidogo ko in estate arusha na kisumu huwezi linganisha kutokana na preference za watu wake na kuhuusu airport labda mkaze kichwa ila arusha kia na kisongo airport zote zinahudumia jiji kwa io tuko ahead of you remind u distance from kia to arusha n 40+ km sijui tumeelewana apo mkuu sijashindanisha apo nimefanya comparison nzury