komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Usisahu pia kenya inaongeza kw ukuaji wa middle class EA2004 ilikuwa na watu laki 5 huku 60 percent wakiishi kwenye slums,
2019 ilikuwa na watu laki 8 kasorona hapa wanaoishi kwenye slums waliongezeka maradufu,
Usisahau pia kenya inaongoza kwa ukuaji wa slums.View attachment 1321226
Sent using Jamii Forums mobile app




Tafuta za 2000 uje uwafurahishe vibwengo wenzio


Sent using Jamii Forums mobile app
mtetea.
