Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Depay kaikana mchana kweupe 😂😂😂😂anadai ni 1920 kabaki kichaa mmoja naye aikatae au aikubali tumalize mjadala,
 
Ebu leta hizo picha za Uhuru zenye hazina rangi, ukileta nahama JF

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo rangi acha kwanza tunajua kabisa before first world War rangi hazikuwepo twende hapa 👇👇👇is this the current Kisumu city CBD unayopigia debe? au ni hivyo hivyo 1920
0e3a75d3c0a267302c7b9430aab27b65.jpg
 
Back
Top Bottom