komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mbna unaogopa tulianzisheWewe mwenyewe umesema makazi zero! na kule kuliko na slums kwenyewe vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna unaogopa tulianzisheWewe mwenyewe umesema makazi zero! na kule kuliko na slums kwenyewe vipi
Kaoneshwa hadi mishale yanapopitia magari... Kuna watu wana changamoto kweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂wivu utakutesa sana? yaani watu wanaziona barabara wewe umekazana kupinga 😂
😂😂😂😂😂nishakuambieni msilazimishe mpate sifa msizostahili maana huo ndio ugonjwa wenu wa misifa but nonsense in reality
Yaani unaona zimechorwa mishale hapo afu gari isimame? 😂😂😂tulia usije jiaibisha ikaonekana hujui hata traffic signs
Wakati ulileta picha juzi dala dala imesimamaYaani unaona zimechorwa mishale hapo afu gari isimame?tulia usije jiaibisha ikaonekana hujui hata traffic signs


Mbna maneno ya leso, au unaogopa slums za kisumunishakuambieni msilazimishe mpate sifa msizostahili maana huo ndio ugonjwa wenu wa misifa but nonsense in reality
Nitatapika bure 😂😂😂😂😂😂maana nikileta picha za obunga, dunga, manyatta, Kondole na Nyalenda! 😂😂😂😂kesho nazishusha humu 😂😂😂
Duh kwa hiyo pale ni kituo cha kusimama daladala... Zile daladala zilikuwa zinatembea zote mbili... Kituo cha daladala zinapopaki kipo kule nyuma karibu na daraja.
Huwa nashangaa misifa ambayo huwa mnalazimisha
NazisubiriaNitatapika buremaana nikileta picha za obunga, dunga, manyatta, Kondole na Nyalenda!
kesho nazishusha humu
View attachment 1323568ma



Leta hicho kituo tukioneDuh kwa hiyo pale ni kituo cha kusimama daladala... Zile daladala zilikuwa zinatembea zote mbili... Kituo cha daladala zinapopaki kipo kule nyuma karibu na daraja.
Km unavyolazimisha kuipambanisha mwanza na slums za kisumuHuwa nashangaa misifa ambayo huwa mnalazimisha
Sasa usije rudia kugusa issue ya makazi wakati unajua 60%of your population in kisumu lives in slums maana ni sawa na kuaibisha uwezo wako wa kucompare 😂😂😂😂
Eeeee!!2004Sasa usije rudia kugusa issue ya makazi wakati unajua 60%of your population in kisumu lives in slums maana ni sawa na kuaibisha uwezo wako wa kucompare![]()




Nataka kituo kwenye hyo six lanekomora096 you're so dumb... Hivi hiyo picha hata kwa kuingalia inahitaji maelezo kuwa ni njia ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti nimehama wakti unapinga km hyo lane haitumiki km service lane hapo mwanza...Umehama tena....sawa ntakuletea usijali...lakini aibu inaendelea kuwa kwako kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app