Kiwango cha mapenzi au kujamiiana kipo kwani kunafaida na hasara ya kujamiiana.
kiwango ni tatu kushuka chini hiyo ni kiaaramu na kiafya zaidi kwani hata wataaramu wameweka kondo ngapi katika pakti .
FAIDA YA KUFANYA KWA KIWANGO;
1; Hufanya muwe na uwezo wa haraka kufikiri mambo yenu kwani mzunguko wa damu huchangamka.
2; Hupunguza hasira na tamaa ya kukutana na mpenzi wako mara kwa mara na hata mwanamke mwingine.
HASARA ZAKE;
1; Uwezo wa kufikiri mabo mengine na jinsi gani ya kuongeza uchumi wako hupungua.
2; Tamaa ya kujamiiana na watu tofauti huongezeka na hata kukupelekea usiangalie rika na umbo gani mwili wako unhitaji na
hatima ya yote ni magonjwa ni si raha tena.
Cha msingi kupunguza papara ya mapenzi unapokuwa uwanjani, kucheza na hisia za mwenza wako na sio hisia zako, hakikisha unamfikisha kileleni mweza wako, kabla ya yote maandalizi muhimu. Kama hatumii vishawish vyovyote yaani dawa za nguvu hatohitaji zaidi baada ya bao tatu.