Kiss ya mdomo (denda)

inawezekana kabisa mmeo hakuandai ipasavyo, munkari na ashki ya mapenzi ndivyo vinavyomfanya mtu afanye mambo tunayoyaona machafu nje ya kitanda, akikuandaa vizuri kwa maneno matamu na kukumbeleza na kukupelemba sehemu zenye utamu na hisia wallahi mama mchungaji utalamba kama chostiki, mimi wife tukikaa ktk hali ya kawaida huwa hapendi denda lkn najua kwa kumpatia wala huwa si initiate, najua wapi nianzie wapi niishie, mama mchungaji amini usiamini ikifika robo tatu ya mlima ntanyonwa mpaka masikio, akifika kileleni na kumaliza nikiomba denda hataki tena, anasema hana experience na denda.

Mh, Chimunguru hapo umegongea penyepo. Timing is everything. Mume anaweza akakuambia yeye huwa hali dagaa, ukimkuta kwa jirani hutaamini anavyokomba sufuria!
 
Hakupendi huyo au unanuka mdomo yafanyie kazi mkubwa
Kama ni mvutaji sigara(kama mimi lol) mwambie awe ana tafuna big G kabla ya kuanza gemu, au kama ni mnywaji na wewe kilauri haipandi, basi mshauri awe ana piga gemu kabla haja enda kunywa kilauri!
 
Acha Ushamba mama Mchungaji wewe usipate taaabu mwambie mchume mboga tu daily ukishindwa kumwambia usipate taaabu zaidi nitafute tufundishane neno. kwani mi mi na wewe kitu kimoja kwahiyo tuanzishe maombi utainjoi usijei nitakupa wewe unavyotaka kwani mzee wako hajui staili zaidi ya hiyo mimi nina mastaili kibao kama crokochobacho n,k
 
jamani nisaidieni,,mi mwenzenu nina allegy na denda...ila kazinayoipata huyu mwenzangu anapenda, kila napomwambia mi sitaki utaona huyo kaja...bwana we sipendi mimi...lakini bado ananijia sehemu ya mdomo..hasa tunapokuaga kwenye ile kazi** ndo utamuona huyo kwa hio nafanya kazi ya kumkwepa..hebu nisaidieni nafanya sawa..na je nifanyaje aache kunikera maana imekua kero..si mnajua mtu anapokufanyia kitu kinachokuboa inavyokuaga.. nyie acheni.

...tafuna vitunguu swaumu kabla ya tendo, ataacha tu.
 
H… Healthy, Hopeful, Humble, Humorous, Hummus eater

A … Appreciative, Approachable, Activist for global peace & justice

P … Peaceful, positive, …

P … Passionate, practical, …

Y… Youthful, yummy, …
 
...Vipi ananuka mdomo au mustachi hauna dressing!!! Mchumishane mboga midomo haitakutana!!!

nimeipenda hiyooo.Ukishindwa hiyo style mpatie ya yeye chali nawe kwa juu umeukalia halfu angalia miguu yake,
kwisha habari yake.
kathenksi kwa mbaali nimegonga.
 
...tafuna vitunguu swaumu kabla ya tendo, ataacha tu.
duuuuh!
hapo hapatoshi,

Ila ujue kama mwenda chumv.... hiyo mbona atakuja sana tu.
Ujue kwenda chu,,..vini simchezo ati! kitungu si hata kwenye pilau kipo!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom