Kiss ya mdomo (denda)

jamani nisaidieni,,mi mwenzenu nina allegy na denda...ila kazinayoipata huyu mwenzangu anapenda, kila napomwambia mi sitaki utaona huyo kaja...bwana we sipendi mimi...lakini bado ananijia sehemu ya mdomo..hasa tunapokuaga kwenye ile kazi** ndo utamuona huyo kwa hio nafanya kazi ya kumkwepa..hebu nisaidieni nafanya sawa..na je nifanyaje aache kunikera maana imekua kero..si mnajua mtu anapokufanyia kitu kinachokuboa inavyokuaga.. nyie acheni.

Mama Mchungaji unanitia aibu jamani lol!!raha ya mapenzi ndo hiyo mama ni kikolezeo eti. Wewe ndo Mchungaji au mumeo??nijibu kwanza halafu nitaendelezea kutokea hapo
 
Mama Mchungaji unanitia aibu jamani lol!!raha ya mapenzi ndo hiyo mama ni kikolezeo eti. Wewe ndo Mchungaji au mumeo??nijibu kwanza halafu nitaendelezea kutokea hapo

Yawezekana mchungaji mwenyewe hapigi mswaki domo linanuka balaa.
 
Hahaha! JS mambo? Nimekumisi kweli, Sore off topic kidogo.

Samahanini wadau inabidi nipate kujuliana hali na kaka yangu Xspin
Niko poa vipi wewe?? nimekumiss sana mpenzi mambo yako

Mama Mchungaji nasubiri jibu
 
Samahanini wadau inabidi nipate kujuliana hali na kaka yangu Xspin
Niko poa vipi wewe?? nimekumiss sana mpenzi mambo yako

Mama Mchungaji nasubiri jibu

Mi niko poa. Vibaya hivyo kupotezana. Mama mchungaji kaingiwa na mapepo hebu fanya ibada. btw ulipotelea wapi wewe?
 
Mi niko poa. Vibaya hivyo kupotezana. Mama mchungaji kaingiwa na mapepo hebu fanya ibada. btw ulipotelea wapi wewe?

Namsalia sasa hivi tena kuna mstari katika biblia unasema MSINYIMANE KWA LOLOTE sasa Mama Mchungaj anambania Baba Mchungaji na ni dhambi hivo ATI.

Niko mbona muulize mzee wa tuktuk Fidel
 
Namsalia sasa hivi tena kuna mstari katika biblia unasema MSINYIMANE KWA LOLOTE sasa Mama Mchungaj anambania Baba Mchungaji na ni dhambi hivo ATI.

Niko mbona muulize mzee wa tuktuk Fidel

Ili kumsaidia zaidi hiyo iko Wakorintho wa pili sura ya saba mstari wa kumi na kuendelea! Hapo tatizo ni kuwa mchungaji anakunywa kimpumu afu anasahau kupiga mswaki! Gonga Senksi kabla sijakasirika!

Mzee wa tukutuku basi kumbe si sawa hajanambia bana! Nilijua ushaenda kubeba mabox.
 
Hiyo senksi mbona imekuja na mkwara ikanibidi niibonyezee hata kabla sijamaliza kusoma komenti zako. Sijaenda kubeba mabox niko nachomwa na jua tu la bongo

Mama Mchungaji nadhani hujapata shida sana kutafuta neno hilo katika kitabu kitukufu kutokana na uzoefu wako tafadhali lifanyie kazi ipasavyo.;)
 
Unajua midomo mingine inanuka kiasi kwamba ukipiga mswaki ni lazima umix colgate,close-up, majivu na kiwi. Then unamalizia na kupulizia perfume aina ya brut! Otherwise.................
 
Unajua midomo mingine inanuka kiasi kwamba ukipiga mswaki ni lazima umix colgate,close-up, majivu na kiwi. Then unamalizia na kupulizia perfume aina ya brut! Otherwise.................

Mtu wa namna hiyo ni mgonjwa. Hata asipopewa denda lakini akaelimishwa sababu naamini hatajali.
 
Unajua midomo mingine inanuka kiasi kwamba ukipiga mswaki ni lazima umix colgate,close-up, majivu na kiwi. Then unamalizia na kupulizia perfume aina ya brut! Otherwise.................

Aisee umenimkumbusha mbali na hii ya mdomo kutoa harufu mbaya kuna jamaa fulani yani juzi juzi tu hapa alikuwa ananitaka kimapenzi sasa ukweli sikuvutiwa naye kabisa kimapenzi lakini huo mdomo wake wajameni alikuwa akiongea hiyo harufu ni mbaya ajabu. mpaka ikabidi nizoee. sasa alivyoona amegonga mwamba kwangu ikabidi anichukulie kama best yake tu. siku moja katika kupiga story akaniambia mwenyewe unajua (jina langu kapuni) hii harufu ya mdomo wangu inanikera sana sijui hata nifanyeje ndo maana sipati demu nadhani nimejaribu kila njia kuondoa nimeshindwa. nikamuambia atumie mauthi woshi akasema antumia ila ndo hivo bado kinywa kimegoma kuwa safi.niongee kiingereza tafadhali, HONESTLY BAD BREATH IT IS A TOTAL TURN OFF TO ANYONE. Sijamuona tena siku za karibuni sijui hali yake inaendeleaje.

Sasa labda baba mchungaji naye ana shida kama hiyo ndo maana mama mchungaji havutiwi kumpa makisi na malavidavi motomoto esp wakati wa majamboz
 
Aisee umenimkumbusha mbali na hii ya mdomo kutoa harufu mbaya kuna jamaa fulani yani juzi juzi tu hapa alikuwa ananitaka kimapenzi sasa ukweli sikuvutiwa naye kabisa kimapenzi lakini huo mdomo wake wajameni alikuwa akiongea hiyo harufu ni mbaya ajabu. mpaka ikabidi nizoee. sasa alivyoona amegonga mwamba kwangu ikabidi anichukulie kama best yake tu. siku moja katika kupiga story akaniambia mwenyewe unajua (jina langu kapuni)

Eti jina kapuni. Nilitaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom