Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido)

Discussion in 'JF Doctor' started by Mrs Mtaba, Jan 28, 2009.

 1. M

  Mrs Mtaba Senior Member

  #1
  Jan 28, 2009
  Joined: Jan 21, 2009
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1:
  Za leo wandugu, naomba kuuliza na kutaka kujua.

  Mimi niko kwenye ndoa ya kama miaka 2 sasa. Kwa kweli imekuwa na furaha zake pia ni vikwanzo vingi. Imefikia sasa mimi najishangaa sana kuwa nimeishiwa hamu kabisa na mme wangu na ninamuona mbaya sana. Nakaa na kujiuliza ilikuwaje mpaka nikaolewa nae.

  Nimefikia hatua yakufanya mambo ili nimuudhi aniache tuu.

  Sijui sasa nifanye nini zaidi cha kumuudhi, nisaidieni.

  2:
  3:
  4:

  5:
  6:
  7:
  8:


  Ushauri wa wadau:

  Soma hii post: https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/282237-kupungua-au-kukosa-hamu-ya-kufanya-mapenzi-low-sexual-libido-or-loss-of-libido-9.html#post4104552 na hii https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/282237-kupungua-au-kukosa-hamu-ya-kufanya-mapenzi-low-sexual-libido-or-loss-of-libido-5.html#post6794617

   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  kabla sijakushauri nina maswali
  ....mumeo ana umri gani na wewe una umri gani niambie range...mfano 11-15

  .....upo kwenye ndoa muda gani?
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kwanini usimwache wewe?
   
 4. M

  Mrs Mtaba Senior Member

  #4
  Jan 28, 2009
  Joined: Jan 21, 2009
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Range yety iko 35 kwa 46. mda ktk ndoa ni kariabia 2 years hivi! Mmmmh
   
 5. M

  Mrs Mtaba Senior Member

  #5
  Jan 28, 2009
  Joined: Jan 21, 2009
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimependa tuu yeye ndo aniache.
   
 6. shejele

  shejele Senior Member

  #6
  Jan 28, 2009
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hiki kizazi cha karne hii sijui kina matatizo gani!

  Ni kitu gani kilikusukuma hadi ukaingia kwenye hiyo ndoa? Kwa mana inawezekena kuna kitu ulikuwa unapata ama ulitaraji kupata kwa bahati mbaya sana hakipo,then ukajikuta unajenga chuki.

  Vinginevyo ningekuwa wewe ningesafiri hata kwa mwezi then nikirudi niangalie kama kutakuwa na mabadiliko yeyote kuliko kumfanyanyia maudhi mwenzako.

  Haumtendei haki kabisa.
   
 7. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  lol! wanawake mna mambo!
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Duu kwa hiyo Mrs Mtaba unaomba ushauri hapa JF? Ingependeza hata kabla ya kuolewa ungekuja hapa kuomba ruhusa. Ukitaka muudhi kulana tigo na best friend wake halafu mwambie mzee kuwa unagawa tigo ile mbaya....na pia hujisikiii kufanya tendo la ndoa katika hali ya kawaida....hapo lazima utaachika uende kule ulikozoea kwenye ufirauni.....

  Ni ushauri uloomba
   
 9. M

  Mrs Mtaba Senior Member

  #9
  Jan 28, 2009
  Joined: Jan 21, 2009
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asanteni sana kwa ushauri wenu ntaufanyia kazi.
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mrs Mtaba, was seriously kidding...usiuchukue ushauri wangu tafadhali....
   
 11. M

  Mrs Mtaba Senior Member

  #11
  Jan 28, 2009
  Joined: Jan 21, 2009
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  A sounding idea if could be possible.
   
 12. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...usishangae Mrs Mtaba, mbona ni kawaida tu hiyo...mid life crisis imekuanza mapema kidogo.

  huenda licha ya kumchukia mumeo, unajichukia pia mwenyewe, labda na kazi yako, ...na maisha unayoishi...

  Nini imekupelekea kufikia hatua hiyo? Kipato? umenenepeana? low sex drive? mawasiliano finyu ndani ya nyumba? mna mtoto/watoto nyie? labda u mjamzito? ...ushawahi kujiuliza yote hayo??

  ni kweli unataka talaka au unajaribu?
   
 13. M

  Mrs Mtaba Senior Member

  #13
  Jan 28, 2009
  Joined: Jan 21, 2009
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naitaka na naitafuta indirect ways sii ipati. Mambo ni mengi na uliotaja hapo juu yakiwemo kasoro mtoto,siomjamzito.
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mrs Mtaba,

  Una mashetani tena una ''Jinni Mahaba'' nitumie private message nikusaidie, tena nna-shaka hii sio ndowa yako ya kwanza, ya kwanza ilidumu kidogo, mambo yakawa hivyo hivyo. Na mara nyingi huota unafanya mamboz mpaka unamaliza, na mara nyingi hujichuwa mwenyewe.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  hahahahah Ushi...nilikuwa najiuliza ndo Ushi huyu ninayemfahamu hapa JF au ni mwingine manake ushauri mwingine duh!
   
 16. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Pole sana. Fuatilia programmes za Dr. Phil. unaweza kubahatisha kuona wenye matatizo kama yako na ukapata solution ya bure!
   
 17. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  The best ushauri....hamna unafiki ukitaka kuachika always fanya baya machoni kwa mpenzi wako....nafikiri ukifanya hivi(na ufanye kweli) nakuapia utachukua round utakuwa a.k.a msimbe free tena free....
  acha uongo wako na ushauri wa kinafiki....kasema hataki kudumisha ndoa yake anataka kuachika....
   
 18. M

  Mrs Mtaba Senior Member

  #18
  Jan 29, 2009
  Joined: Jan 21, 2009
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ntashukuru kwenye site gani nifatilie? nimsikia sana.
   
 19. M

  Mama JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2009
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Mrs Mtaba,

  Ilikuwaje hadi ukaolewa nae pengine ni kutokana na mfumo katika jamii zetu kwamba wanawake hawana choice, unasubiri atakaye kutafuta.

  Mwanaume wa kwanza anakutest akiona hufai anakuacha, wakikutest wawili watatu utaitwa malaya! Mwanaume hata akiwa nao kumi na sita, yeye ni kidume cha mbegu!

  Ushauri: wala usimuudhi mwenzio, ondoka kama ifuatavyo ukachezewe na wanaume wengine. Hakuna mwanaume mzuri isipokuwa yule responsible na anayekujali kwa shida na raha; na hakuna mapenzi ila yaende na compatibility, kumpata mliye compatible ndio kasheshe, nae awe hakupendi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Jan 29, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  ...and vice versa eeeh?
   
Loading...