Kiss Kiss Kiss JF... Mwaaaah!

Kiss Kiss Kiss JF... Mwaaaah!

teh teh teh ... teh teh teh... teh teh teh... UMENIFIKISHA!!!!
Na hapo?
800px-French_Kiss.jpg
 
Kweli Kabisa Let Bygones be Bygones.....,

Lakini nikichukua List ya Ma-Ladies ambao walishawahi kupigwa BAN ya maisha...
alafu nikarelate na The way unavyoandika..........................,
Nadhani ni......,
Tugange yajayo yaliyopita si ndwele, Alafu hata aliyekufanya upigwa BAN msamehe
"We Destroy our Enemies by Making Them Our Friends"

teh teh teh ... tah tah tah... tih tih tih... teh teh teh ... umetambua sauti yangu eeeeh? Haya basi tugange yajayo yaliyopita si ndwele,
 
aaaaah... mmmmh... nawe mjukuu wake?? asante mwaya teh teh teh

mie ndio mjukuu wake kipenzi ninae onja chakula chake kabla hajala...tunampenda sana babu yetu ndio maana tunamlinda.kwa maana hiyo basi mawasiliano yote yatapitia kwngu,lol!
 
Nimekupata. Haya karibu
welcome_home.jpg

Khaaaa saa zile niliona hunitakii mazuri.. kumbe mwma wewee eeeeeeh??? haya niko tayari kukaa kimya na kikuku kiss.. Swali wewe mkaka mdada??
 
mie ndio mjukuu wake kipenzi ninae onja chakula chake kabla hajala...tunampenda sana babu yetu ndio maana tunamlinda.kwa maana hiyo basi mawasiliano yote yatapitia kwngu,lol!

teh teh teh, waonja vyoooote vyakula eeeeh?? lakini sidanganyiki lakini nashawishika mpaka babu mwenyewe aseme teh teh teh..
 
Aisee Romance umeingia kwa mbwembwe na unahakikisha kila mtu anajua we ni elder hapa. Haya mama.......
 
Romance jina langu, JF nia yangu, GT watu wangu naomba mnipokee tena binti mnyenyekevu....
Nilipigwa burn ya maisha ila nimejirekebisha... teh teh teh

Kiss Kiss Kiss JF... Mwaaaaaaaaaaaah!

Aisee, Kweli wewe mzoefu..
Karibu dear, hizo kisses naona kweli zimetufikia..
Hongera kwa kurudi upya na kwa kufungua Gamba at that..

Enjoy...
 
Aisee Romance umeingia kwa mbwembwe na unahakikisha kila mtu anajua we ni elder hapa. Haya mama.......

Hata mimi nimejiuliza hilo mwayaaaa, yaaaaani nimegundua JF siku hiziiiiiiiiii pana amani... mmmmmmmmmh!
 
Katika kumbukumbu zako usinisahau
Nimekuwa wa kwanza kukuambia karibu
Naitwa Babu Asprin ODM
Mtaalam wa kukagua matiti ya wajukuu.
Karibu kwenye himaya yangu

Umeanza lini kukagua watermelone za wajukuu..........babu mkware
karibu dada romance
 
Karibu sana Romance, kuwa makini usile tena ban tukakumiss tena!
 
Aisee, Kweli wewe mzoefu..
Karibu dear, hizo kisses naona kweli zimetufikia..
Hongera kwa kurudi upya na kwa kufungua Gamba at that..

Enjoy...

Kwelii kabisaaaa teh teh teh asante mwaya kunikaribishaaaaa, Zimefakia kiss eeeeeh?? teh teh naongeza maaaana najisikia raahaaaaaa na kuinjoiiii pia..... nawe injoiiiii
 
Umeanza lini kukagua watermelone za wajukuu..........babu mkware
karibu dada romance

Khaaaaa huyu babu jina kubwaaaa eeeeeh???? kuna mwingine kagoma hata kunikaribisha kisa babu yenu huyo atanikagua chuchu.. Khaaa! asante mwaya black mwenzangu... teh teh teh
 
Karibu sana Romance, kuwa makini usile tena ban tukakumiss tena!

teh teh teh ... saisi nimevua gamba... hawanipati kwa burn na sitaki presssurrreee mrembo mie teh teh teh ... asante mwaya...
 
Back
Top Bottom