N NICE LAMECK JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 213 Reaction score 28 Jun 5, 2012 #2 enzi za ujima.
Ngangasyonga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2010 Posts 455 Reaction score 71 Jun 5, 2012 #3 Mafisadi wooote, waende motoni waungue mpaka kule kwenye biolojia!!!
Fixed Point JF-Expert Member Joined Sep 30, 2009 Posts 11,304 Reaction score 12,753 Jun 5, 2012 #4 hapo wanapigwa jua mchana kutwa, sijui wanafanyaje wakati wa masika
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 987 Reaction score 220 Jun 5, 2012 #5 Huenda hiyo ni Tuition, mwl hajapata mishahara ya miezi kadhaa wala posho ya kujikimu, kawa mbunifu.
Mshirazi JF-Expert Member Joined Dec 8, 2009 Posts 444 Reaction score 180 Jun 5, 2012 #6 Kama utaangalia kwa makini,, kilichoandikwa hapo ni hati za ARABIC,,, itakua walikua wanafundishwa Arabic lesson,, ama sio TZ
Kama utaangalia kwa makini,, kilichoandikwa hapo ni hati za ARABIC,,, itakua walikua wanafundishwa Arabic lesson,, ama sio TZ
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,621 Reaction score 4,311 Jun 6, 2012 #9 NICE LAMECK said: enzi za ujima. Click to expand... Kiongozi hiyo siyo Enzi za ujima bali Tanzania hii bado tunayo na ipo!
NICE LAMECK said: enzi za ujima. Click to expand... Kiongozi hiyo siyo Enzi za ujima bali Tanzania hii bado tunayo na ipo!
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,730 Jun 6, 2012 #10 biologia kuungua inakuwaga ngumu Ngangasyonga said: Mafisadi wooote, waende motoni waungue mpaka kule kwenye biolojia!!! Click to expand...
biologia kuungua inakuwaga ngumu Ngangasyonga said: Mafisadi wooote, waende motoni waungue mpaka kule kwenye biolojia!!! Click to expand...
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,730 Jun 6, 2012 #11 bado tz hihi kuna sehemu ziko hivihivi.inatia hasira af unakuta hawa wakuu wanajipulizia viyoyozi kwenye ma v8 kuelekea kwa vimada wao aghrrrrrr
bado tz hihi kuna sehemu ziko hivihivi.inatia hasira af unakuta hawa wakuu wanajipulizia viyoyozi kwenye ma v8 kuelekea kwa vimada wao aghrrrrrr