Kisiwa cha MAFIA kimeficha SIRI nzito

Kisiwa cha MAFIA kimeficha SIRI nzito

vamda

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
919
Reaction score
599
Ndugu wana JF. Naomba mnijuze kuhusu kisiwa cha MAFIA kilichopo Tanzania. Je jina hilo (MAFIA) limetokana na kile kikundi cha kigaidi kilichopo nchini Italy? Maana nijuavyo mimi MAFIA ni kikundi cha kimataifa cha wahalifu kilichoasisiwa nchini ITALY kinachofanya maovu mbalimbali duniani yaani it is an organized international body of criminals originating in Sicily (ITALY) and having a compex and ruthless behavioral code.Je magaidi hao hujificha kwa siri kule kisiwani? Je ni nani aliyekibatiza kisiwa cha MAFIA kilichoko Tanzania jina hilo, lini na kwa sababu gani? . Wataalam wa HISTORIA naomba mnijuze tafadhali.
 
kumbuka pia kuwa kisiwa cha mafia kilikuwepo kabla hata hilo kundi la huko italy halijaanzishwa.kwa hiyo kama kuiga basi ni waitaliano ndo waliiga hilo jina na sio hicho kisiwa kilichukua jina lao
 
Huyo jamaa ajuzwe tu,si kila mtu anashabikia au anakupenda siasa za kibongo za kugeukageuka
 
Nashindwa kuelewa uliweza vp kufahamu historia ya Mafia wa Italia ukashindwa kufahamu historia ya kisiwa kilicho karibu sana na nchi unayoishi! Haya ndio matatizo ya elimu za kubabaisha yaani unakuwa mgeni katika mazingira yako mwenyewe..
 
Nashindwa kuelewa uliweza vp kufahamu historia ya Mafia wa Italia ukashindwa kufahamu historia ya kisiwa kilicho karibu sana na nchi unayoishi! Haya ndio matatizo ya elimu za kubabaisha yaani unakuwa mgeni katika mazingira yako mwenyewe..
Hadi mimi nashangaa hizo akili za UVCCM
 
Asante sana muungwana uliyejibu swali la huyu bwana hata mimi nlikuwa sijui maana mliyotoa. Achana na mavuvuzela kama zemarcopolo anayewaza siasa uchwara za kibongo zisizo na tija hata kwake yeye mwenyewe.
 
Asante sana waungwana mliyojibu swali la huyu bwana hata mimi nlikuwa sijui maana mliyotoa. Achana na mavuvuzela kama zemarcopolo anayewaza siasa uchwara za kibongo zisizo na tija hata kwake yeye mwenyewe.
 
Mafia kirefu chake ni
machizi
ambao
fani
imelala
asilia
hii ni kwa mujibu wa albert mangwair feat jaymoe kwenye wimbo wa m.a.f.i.a.uliotengenezwa na producer bora zaid kuwahi kutokea duniani p.funky majani mdachi. A.k.a mkono wa mungu.
'npo around'
 
Waajemi wa kwanza kukaribia kisiwa cha Mafia,kwa minajili ya kufanya biashara,huku wakiwa wamepigwa na kiu kubwa ya maji,waligundua kuwa kumbe ndani ya kisiwa kuna maji safiya kunywa!. Ndipo wakasemezana..mafiia..mafiia,maana maji yapo humu! Ndio maana ya Mafia. Waitaliano wa Cicily waliiba tu jina la Mafia sababu waajemi walitua mafia karne nyingi nyuma kabla yaMafia mob kuanzishwa.
 
Acheni siasa.... hii ndio maana yake sasa

The name "Mafia" derives from the Arabic morfiyeh, meaning "group" or "archipelago", or from the Swahili mahali pa afya, meaning "a healthy dwelling-place".
 
Back
Top Bottom