Kisiwa cha MAFIA kimeficha SIRI nzito

Kisiwa cha MAFIA kimeficha SIRI nzito

Ndugu wana JF. Naomba mnijuze kuhusu kisiwa cha MAFIA kilichopo Tanzania. Je jina hilo (MAFIA) limetokana na kile kikundi cha kigaidi kilichopo nchini Italy? Maana nijuavyo mimi MAFIA ni kikundi cha kimataifa cha wahalifu kilichoasisiwa nchini ITALY kinachofanya maovu mbalimbali duniani yaani it is an organized international body of criminals originating in Sicily (ITALY) and having a compex and ruthless behavioral code.Je magaidi hao hujificha kwa siri kule kisiwani? Je ni nani aliyekibatiza kisiwa cha MAFIA kilichoko Tanzania jina hilo, lini na kwa sababu gani? . Wataalam wa HISTORIA naomba mnijuze tafadhali.

Bandiko lako limekaa kiunafiki nafiki hivi ...
umetujazia server bila sababu ya msingi
 
Ndugu wana JF. Naomba mnijuze kuhusu kisiwa cha MAFIA kilichopo Tanzania. Je jina hilo (MAFIA) limetokana na kile kikundi cha kigaidi kilichopo nchini Italy? Maana nijuavyo mimi MAFIA ni kikundi cha kimataifa cha wahalifu kilichoasisiwa nchini ITALY kinachofanya maovu mbalimbali duniani yaani it is an organized international body of criminals originating in Sicily (ITALY) and having a compex and ruthless behavioral code.Je magaidi hao hujificha kwa siri kule kisiwani? Je ni nani aliyekibatiza kisiwa cha MAFIA kilichoko Tanzania jina hilo, lini na kwa sababu gani? . Wataalam wa HISTORIA naomba mnijuze tafadhali.

Mhh hii sasa ni mpya kabisa hawa wasomi wetu wa sasa kaaazi kweli kweli
 
Nashindwa kuelewa uliweza vp kufahamu historia ya Mafia wa Italia ukashindwa kufahamu historia ya kisiwa kilicho karibu sana na nchi unayoishi! Haya ndio matatizo ya elimu za kubabaisha yaani unakuwa mgeni katika mazingira yako mwenyewe..

enhe I was asking myself same thing, baadhi ya wabongo ni nooooma, kibo!!!
 
Last edited by a moderator:
kumbuka pia kuwa kisiwa cha mafia kilikuwepo kabla hata hilo kundi la huko italy halijaanzishwa.kwa hiyo kama kuiga basi ni waitaliano ndo waliiga hilo jina na sio hicho kisiwa kilichukua jina lao

Mkuu myhem unauhakika na unachosema,na unajua history ya Mafioso...........soma kwanza history yake ndio ucomment
 
Ndugu wana JF. Naomba mnijuze kuhusu kisiwa cha MAFIA kilichopo Tanzania. Je jina hilo (MAFIA) limetokana na kile kikundi cha kigaidi kilichopo nchini Italy? Maana nijuavyo mimi MAFIA ni kikundi cha kimataifa cha wahalifu kilichoasisiwa nchini ITALY kinachofanya maovu mbalimbali duniani yaani it is an organized international body of criminals originating in Sicily (ITALY) and having a compex and ruthless behavioral code.Je magaidi hao hujificha kwa siri kule kisiwani? Je ni nani aliyekibatiza kisiwa cha MAFIA kilichoko Tanzania jina hilo, lini na kwa sababu gani? . Wataalam wa HISTORIA naomba mnijuze tafadhali.

Km hujafanya utafiti,usizungumze.
 
Mafia kirefu chake ni
machizi
ambao
fani
imelala
asilia
hii ni kwa mujibu wa albert mangwair feat jaymoe kwenye wimbo wa m.a.f.i.a.uliotengenezwa na producer bora zaid kuwahi kutokea duniani p.funky majani mdachi. A.k.a mkono wa mungu.
'npo around'

Kuna virutubishi vinahitajika mwilini mwako ili akili yako ikomae angalia sana vyakula unavyokula la sivyo mwanao atakuwa na akili ya madenge
 
Nashindwa kuelewa uliweza vp kufahamu historia ya Mafia wa Italia ukashindwa kufahamu historia ya kisiwa kilicho karibu sana na nchi unayoishi! Haya ndio matatizo ya elimu za kubabaisha yaani unakuwa mgeni katika mazingira yako mwenyewe..
Hata ww ulipata division 5. Hiki kisiwa ni sehemu ya Tanzania. Unaposema kisiwa kilicho karibu sn na nchi yako una maanisha nn?
 
Kilichotakiwa ni mwenye ufahamu na aweke hapa,sio maneno mengi na kashfa.wengi wetu hatujui historia za majina.. Baada ya karne kadhaa hukawii kusikia hiyo baraka Obama rd imekuwaje kuwepo bongo. Kifupi mwenye uhakika wa jibu na aweke tujuzwe!
 
Jamani matusi ya nini? Mtu muungwana huwa hatukani. Hujibu hoja kwa kutumia mantiki (LOGIC) la vinginevyo hukaa kimya. Naomba anayejua kuhusu kisiwa cha MAFIA cha Tanzania atujuze wana JF. Kutukana ni kinyume cha kuelimisha.
 
Hizo maana zote ni Feki, Maana ya Mafia ni kama ifuatavyo. nitawapa story kidogo ili mpate kufahamu vizuri. Wakati wa kipindi cha biashara kati ya watu wa Persia, yaani warabu na pwani ya Afrika mashariki, miji mikubwa ya kibiashara ilikuwa kama vili Kilwa, bagamoyo, pangani na Mombasa. waarabu hawa walitumia majahazi kufika sehemu hizi. majahazi hayo yalitegemea upepo kufanya safari zake. wakati Fulani ilitokea upepo ukawapoteza wasafiri hao waliokuwa wanaelekea Mji wa Kilwa hadi kufikia Kisiwa cha mafia. walipokifika hapo ndio wakawa wanaulizana, Kuna nini kwenye kisiwa hichi?? ndipo wakashuka na kuanza kutembea ndani ya kisiwa hicho na hawakuona mtu hata mmoja aliyekuwa akiishi humo. ndipo wakasema Maa fiha, in Arabic language ukisema Maafiha, means, nothing inside, no one Living inside. from that time, waarabu ndipo wakaweka makazi na kuchukuwa watumwa kutoka sehemu mbali za ukanda wa pwani kuwapeleka mafia kwa ajili ya kilimo cha zao la Nazi.
 
Ndugu wana JF. Naomba mnijuze kuhusu kisiwa cha MAFIA kilichopo Tanzania. Je jina hilo (MAFIA) limetokana na kile kikundi cha kigaidi kilichopo nchini Italy? Maana nijuavyo mimi MAFIA ni kikundi cha kimataifa cha wahalifu kilichoasisiwa nchini ITALY kinachofanya maovu mbalimbali duniani yaani it is an organized international body of criminals originating in Sicily (ITALY) and having a compex and ruthless behavioral code.Je magaidi hao hujificha kwa siri kule kisiwani? Je ni nani aliyekibatiza kisiwa cha MAFIA kilichoko Tanzania jina hilo, lini na kwa sababu gani? . Wataalam wa HISTORIA naomba mnijuze tafadhali.

neno mafia Linamaana ya “Mahali pa afya”

Lilitoholewa kutoka kwa lugha za kigen kama wairan au waarabu wakwanza kusimika tawala karne hiyo
 
Back
Top Bottom