Kisimiri haiwezi kuizidi Marian

Kisimiri haiwezi kuizidi Marian

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,998
Reaction score
104,425
Nalisema bila kupepesa, Kisimiri haiwezi kuizidiMarian. Tungelikuwa kwenye just state, just education environment, tungelichukua kumi bora kutoka kila shule , kumi kati na kumi mwisho kila shule tukapitia upya kusahihisha script zao nawahakikishia tungeliona maajabu!
Kwaheri!
 
Haha we mzee naona umedata kuona Marian wamepoteana mwaka huu, halafu elimu sio mashindano kama watoto wako wana mentality kama ya kwako basi tutegemee kuiona one ya tatu ya makaratasi isiyo na manufaa yoyote kwa nchi hii


Mwisho hukulazimishwa kupeleka watoto huko Marian
 
Retired hapa umetumbukia shimoni mkuu. Huwez ukaongoza miaka yote.. somewhere somehow ita drop tu.. an thats life.
Kwa hiyo mkuu pole sana. Hao marian hawasomi mbinguni kuwa kila matokeo wao waongoze.
Nalisema bila kupepesa, Kisimiri haiwezi kuizidiMarian. Tungelikuwa kwenye just state, just education environment, tungelichukua kumi bora kutoka kila shule , kumi kati na kumi mwisho kila shule tukapitia upya kusahihisha script zao nawahakikishia tungeliona maajabu!
Kwaheri!
 
Safari hii hawapo. Wachukue hii kama changamoto na mwakani labda watarudi tena kwenye usukani.
 
Back
Top Bottom