Kisimbusi Continental

Mjasiria Akili

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
825
500
Kati ya visimbusi vyote hiki ndio kichefuchefu
Kwa siku kinakatika mara4 mapaka 6 acha wachina wa star time watuokoe manake waliwapiga vita na kutaka kutoa chanel yao kwa kujifanya watajiweza wenyewe kumbe ni bora wachina mara 100 kuliko wao
 
fakenology

JF-Expert Member
May 3, 2012
924
1,000
digtek, *times na continental vyote n mav matupu. wamiliki wao tamaa zmewashika wanalazmisha mambo huku hawana mtaji.
king'amuz n azam tu.
najua itachukua muda kwa maslow learner kuelewa hili
 
Mjasiria Akili

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
825
500
No continental wamezidi mimi ninacho startime kipo sawa c kama continental tatizo la azam local chanel ni chache na hawalazimishwi kuingia sbb azam tv ni tv kama ilivyo super sport au tv nyingine yoyote
 
Mabelana

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
518
250
Hawana maana yoyote unaweza kuwa unaangalia habari bara kimya mpaka kesho wanadanganya watu eti kuna channel kibao za michezo wakati hakuna hata moja.
 
Mabelana

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
518
250
No continental wamezidi mimi ninacho startime kipo sawa c kama continental tatizo la azam local chanel ni chache na hawalazimishwi kuingia sbb azam tv ni tv kama ilivyo super sport au tv nyingine yoyote
Hivi Azamu wana Channel ngapi
 
MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
16,068
2,000
AZAM TV kiboko! wanatumia dish hivyo kukwama ovyo sahau alafu kwa bei ya 130,000 kupata dish na dekoda yao na kila mwezi 12,500 lakini kuna channel kibao nzuri sana!
 
MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
16,068
2,000
Binafsi kuwa local nyingi sio issue kwani local kuna nini cha ziada?
Local zipo Azam tv kasoro za IPP na Star tv.
 
Mjasiria Akili

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
825
500
Tatizo azam wana tbc chanel 10 tu itv star tv eatv hakuna so utaishia kuangalia cinema na katuni lkn habari za ndani shida ila ni kizuri
 
Luqash

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
916
195
Tatizo azam wana tbc chanel 10 tu itv star tv eatv hakuna so utaishia kuangalia cinema na katuni lkn habari za ndani shida ila ni kizuri

Kwani TBC na Channel ten hawana habari za ndani? Au lazima IPP umuone Dr Mengi kila siku? Nunua Digitek basi...
 
Morinyo

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
2,782
2,000
digtek, *times na continental vyote n mav matupu. wamiliki wao tamaa zmewashika wanalazmisha mambo huku hawana mtaji.
king'amuz n azam tu.
najua itachukua muda kwa maslow learner kuelewa hili

Hawa jama mwanzoni nliamini kua watamfukuza mchina lakini imekua kinyume chake. Azam tv hana hata mwezi kwenye
biashara hii lakini ameonekana baada ya miaka kama miwili anaweza kukabiliana na star times.
 
mwitu

JF-Expert Member
Jun 22, 2012
856
0
Hawa jama mwanzoni nliamini kua watamfukuza mchina lakini imekua kinyume chake. Azam tv hana hata mwezi kwenye
biashara hii lakini ameonekana baada ya miaka kama miwili anaweza kukabiliana na star times.

hapa kwenye star times umekosea. Azam yupo juu.linganisha 12500 kwa 40000 kwa mwezi
 
Mjasiria Akili

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
825
500
Tbc haina habari za ndani ina habari za ccm mf saa hizi wanamuonyesha la profeser muongo akipiga porojo udsm kwnye mjadala wa gesi bora kidogo chanel 10 habari za ndani kwa ujumla zipo star tv na itv
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom