Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 14,977
- 21,071
Gharama pigia tofari zenye ratio nzuri ie:25 kwa mfuko.Sawa mkuu asante kunitoa wasiwasi. Ni kweli kuna mvua inakesha unakuta siku 3 mfululizo. Sasa vipi kuhusu gharama ya hicho cha lita 120,000 haiwezi kuwa sawa tu na griling?. Griling kawaida kwa huku haizidi milioni 8
Hapo sementi ya kufyatulia tofari 500, zege ya slab na sakafu, pigia jumla mifuko 60 kwa ujenzi wote kwa ujumla, wire mesh 13, nondo 40, kokoto trip 1, mchanga trip 13, mollarm trip2, kuchimba shimo na gharama za kujenga maeneo ya kwenu vipoje, ingawa kuna ghrama ndogo ndogo sijaziweka.
Nimekupa huo mkadirio uupigie hasabu uone pa kuanzia.
Na vyoo vya kishua vya option ni ghali wengi wetu tunatumia squatting toilets.. ambazo tank yake inakula lita tano.. pale kuna kamba tu au lever haja yoyote ..ile ukikavuta tu tano hizooo.