Kisieni huyu ni binadamu au robot?

Kisieni huyu ni binadamu au robot?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
408752_625801860782842_750205443_n.jpg


Huyu ni binadamu au Robot? Mkuu Boflo

هل تصدق ان هذه الفتاة ليست إلا مجرد روبوت ؟ , تستطيع هذه الروبوت أن تتكلم بوضوح و تبتسم و ترد التحية و تغني أيضا , صنعتها اليابان و اسمها HRP-4C


Can you believe this girl is not just a robot? This robot can speak clearly and smile and the salutation and sing too, manufactured by Japan and its name🙂 HRP-4C.
 
Last edited by a moderator:
wewe kweli mafinyofinyo,hayo ni maandish ya kiarab
Mkuu
mjulishe mafinyofinyo kuwa maandishi ya kiarabu siyo lazima iwe ya kiislamu, Hiyo lugha ya kiarabu ni miongoni mwa
lugha tano za kimaTaifa inatambulika kotokana na vigezo maalumu. Sahemu kadha lugha hutumika uwiano na zingine
Siku hizi biashara imekutanisha wateja na kurahisiha kwa lugha zao.
 
Mbona mm naona maandishi ya Kiislam hapo?
Lugha ya kiarabu,hiyo ni lugha ya kimataifa,mtoto yoyote wa madrasa ukimleta hapo anakusomea bila tabu,ni Tanzania tu ajira za wanaojuwa lugha hiyo no chache,lakini sehemu nyingi duniani,waliosemea lugha hii wanapata ajira,mpaka kwenye viwanda vingi tu.Maana bidhaa nyingi zinakuja na maelekezo ya lugha ya kiarabu ,ikiwa ni miongoni mwa lugha za kimataifa.Zipo pia biblia za lugha ya kiarabu kwa wanaotumia lugha ya kiarabu.
 
Lugha ya kiarabu ni lugha ya kimataifa,ndio lugha inayosomeshwa watoto wa madrasa.Ajira ya lugha hii iko sana nchi nyingi,kutokana na vifaa vingi kuwa na maelekezo ya matumizi yake kwa lugha ya kiarabu.
 
Lugha ya kiarabu,hiyo ni lugha ya kimataifa,mtoto yoyote wa madrasa ukimleta hapo anakusomea bila tabu,ni Tanzania tu ajira za wanaojuwa lugha hiyo no chache,lakini sehemu nyingi duniani,waliosemea lugha hii wanapata ajira,mpaka kwenye viwanda vingi tu.Maana bidhaa nyingi zinakuja na maelekezo ya lugha ya kiarabu ,ikiwa ni miongoni mwa lugha za kimataifa.Zipo pia biblia za lugha ya kiarabu kwa wanaotumia lugha ya kiarabu.



Hapa tusidanganyane bwana,mtoto wa madrasa aliyyekariri koran hawezi kujua kiarabu si tunawaona na kuishi nao mitaani..
 
Hapa tusidanganyane bwana,mtoto wa madrasa aliyyekariri koran hawezi kujua kiarabu si tunawaona na kuishi nao mitaani..
sasa hiyo quran unayosema kakariri si ndio lugha yenyewe ya kiarabu,huyo wa madrasa,wa hapo mtaani ndio sawa na chekechea,akiendelea mbele kwenye madrasa za juu anazidi kupata Elimu,kuna ibtidaiya(madarasa ya chekechea),kuna mutawasta (msingi),kuna thanawi(secondary) kuna mahad(college),kuna jami'i
(university).Kwa ujue lugha ya kiarabu ni lugha ya kimataifa na ya kiabiashara toka karne na karne,hata ndani ya biblia ya kiswahili mna maneno ya mengi ya kiarabu,asilimia 25,ya lugha ya kiswahili,ambayo ni lugha ya Taifa la Tanzania ni lugha ya kiarabu,hata lugha yenyewe ya kiswahili,imeitwa kwa lugha ya kiarabu,sahil ,maana yake pwani,kwa kiarabu.
Kuna majina ya miji kadhaa ya Tanzania yameitwa kwa majina ya kiarabu,kama Dar es salaa, Tabora(kwa kiarabu Tabuur,),Tarime, kilwa, n.k.
 
Kuna watu wengi ambao,wanaichukiya lugha hii kwa vile Quran imeshushwa kwa lugha hii,.lakini wanashindwa kuelewa na kufahamu kama kuna biblia pia zimeandikwa kwa lugha hii ya kiarabu,tena miaka mingi kabla hata biblia za lugha nyingine duniani kuandikwa,na pia ilikuwa quran haijashushwa,kulikuwako na biblia za kiarabu,na ukiisoma haina tofauti maandishi na utamkaji wake kama Quran.
 
sasa hiyo quran unayosema kakariri si ndio lugha yenyewe ya kiarabu,huyo wa madrasa,wa hapo mtaani ndio sawa na chekechea,akiendelea mbele kwenye madrasa za juu anazidi kupata Elimu,kuna ibtidaiya(madarasa ya chekechea),kuna mutawasta (msingi),kuna thanawi(secondary) kuna mahad(college),kuna jami'i
(university).Kwa ujue lugha ya kiarabu ni lugha ya kimataifa na ya kiabiashara toka karne na karne,hata ndani ya biblia ya kiswahili mna maneno ya mengi ya kiarabu,asilimia 25,ya lugha ya kiswahili,ambayo ni lugha ya Taifa la Tanzania ni lugha ya kiarabu,hata lugha yenyewe ya kiswahili,imeitwa kwa lugha ya kiarabu,sahil ,maana yake pwani,kwa kiarabu.
Kuna majina ya miji kadhaa ya Tanzania yameitwa kwa majina ya kiarabu,kama Dar es salaa, Tabora(kwa kiarabu Tabuur,),Tarime, kilwa, n.k.




Sijakataa kama kiarabu sio Lugha ya kimataifa,hilo ninalijuia fika kwani kuna zaidi ya nchi 23 zinazotumia Lugha hiyo lakini ninachokataa ni wewe kujaribu kunilazimisha kuwa watu wenye uwezo wa korani wanaweza pia kuongea kiarabu na ukasisitiza kuwa hata mtoto wa madras,a na hapo ndipo nilipokupinga.Kwani ni wangapi wenye uwezo mzuri tu wa kukariri Korani lakini anapotokea mwarabu wanashindwa kuwasiliana naye..??Naomba utofautishe kati ya kukariri lugha na kuelewa lugha kaka..
 
Hata mtoto wa shule ya msingi,hataweza kuongea kiingereza,lakini atakuwa anaelewa maneno kadhaa maana yake na kuweza kuyasoma,si sawa na ambaye hakusoma kabisa,aliyeko madrasa,hawezi kuwa sawa na asiyesoma madrasa,hawezi kuwa sawa,na viwango vya madrasa vinatofautiana kama unavyoona viwango vya elimu katika shule,zipo madrasa,viwango vyao vya elimu ni kubwa,kutegemeana na waalimu wanaofundisha,uwezo wao wa elimu,labda hapo mtaani kwako,kiwango cha elimu inayotelewa hapo ni kiwango kidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom