Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
katika lugha ya kiarabu kuna classic ArabicSijakataa kama kiarabu sio Lugha ya kimataifa,hilo ninalijuia fika kwani kuna zaidi ya nchi 23 zinazotumia Lugha hiyo lakini ninachokataa ni wewe kujaribu kunilazimisha kuwa watu wenye uwezo wa korani wanaweza pia kuongea kiarabu na ukasisitiza kuwa hata mtoto wa madras,a na hapo ndipo nilipokupinga.Kwani ni wangapi wenye uwezo mzuri tu wa kukariri Korani lakini anapotokea mwarabu wanashindwa kuwasiliana naye..??Naomba utofautishe kati ya kukariri lugha na kuelewa lugha kaka..
na spoken arabic,hii spoken ina dialects tofauti ya lahaja tofauti,kutegemea na muarabu anatoka wapi,kutegemea na anakotoka atakuwa na matanshi tofauti,kwa hiyo kwa msomaji wa classic arabic,inakuwa ngumu kuelewa lahaja tofauti,lakini akikutana na aliyesoma classic arabic anaweza kuelewana naye,kiarabu cha ndani ya quran ni classic,kwa huyu aliyesoma classic ni mpaka akae maeneo ya wanaotumia lahaja husika,ndio ataweza kuwaelewa.
Lakini huyu wa classic ataweza kusoma maandishi ya kiarabu,yoyote ambayo ni classic arabic.Kwa hiyo hapa tumesema kuhusu kusoma maandishi ya kiarabu,sio kuongea kiarabu na waarabu wa lahaja tofauti.Nafikiri umenielewa.