Nimesema CHADEMA ina influence Zanzibar au nimesemaCHADEMA ina influential gani Zanzibar ?
Zanzibar wana maamuzi yao hata wangekuwa CHADEMA, hakuna wa kuwazuia kufanya yao.
Ishtoshe Mbowe hana utakatifu huo wa kukataa nafasi kama hizo labda kama umezaliwa jana.
CHADEMA ilishakuwa strong, asingeweza kuiburuza kama anavyoweza kuiburuza ACT kadri atakavyo!! CHADEMA tayari ilishakuwa na misingi imara ya uongozi na viongozi wake walikuwa very influential unlike ACT ambayo ilikuwa ukimtoa Zitto, hamna kinachobaki!!!
Like serious?!ACT ilianzishwaje
Ilakipindi kile wakati anasema atampigia kura na kumuunga tundu lisu, zito alikuwa shujaa na kamandaa. Chadema hamueleweki kabisaaa.Toka scandal za Zitto CDM tangu 2013 nilishamfuta kwenye siasa za upinzani..
He is doing his job.. and to my instincts it pays him whatsever he deserve..
Cheap and easily manipulated
Nimegundua wewe ni mpumbavu.Nimesema CHADEMA ina influence Zanzibar au nimesema
NI kwamba huoni, ama sometimes huwa unapata taabu kusoma kwa usahihi au huelewi?!
Kwamba eti Zanzibar wana maamuzi yao, hivi unajua unachokiongea kweli wewe?!
Ina maana chama kimoja kinakuwa na katiba mbili, inayo-operate Bara na Zanzibar hata useme wana maamuzi yao?!
Au ukumbushwe kama kujuzwa kwa mara ya kwanza kwamba Maalim Seif alipoingia ACT, aliingia na kundi lake, na wengi wao wakalamba uongozi ACT na kuwa kwenye kamati mbalimbali za maamuzi?! Hivi kwa akili yako opportunity kama hiyo pale CHADEMA wangeipata kirahisi wakati tayari chama kilishakuwa na uongozi wake top down?
Na suala la Mbowe linatoka wapi? Kwamba "oh, hana utakatifu huo", nani amezungumzia utakatifu au ubora wa Mbowe hapa?! Ameingijiaje ingiaje?!
Vipi dadangu mbona matusi?! Jibu ulichoulizwa badala ya kumwaga matusi... unataka wanao wajifunze nini kutoka kwa mama kama mama mwenyewe ni mmwaga matusi mitandaoni?!Nimegundua wewe ni mpumbavu.
Nakupuuza.
Chadema ina uongozi imara?Siamini kama Zitto amehusika au amependelea suala la ACT kujiunga na Serikali ya Kitaifa kule Zanzibar!!
Mistake aliyofanya Zitto ni kumkaribisha Maalim Seif ndani ya ACT ambae nae alikuja na Wafuasi wake!!
Wafuasi wa Seif kutoka CUF walikuwa wengi na more influential kule Zanzibar kuliko Wafuasi wa ACT Asili!!
Matokeo yake, Zitto na ACT Asili hawana ubavu wa kufurukuta kule Zanzibar mbele ya ACT Makirikiri, kwahiyo akina Zitto watake au wasitake, lazima wataburuzwa tu na ACT Zanzibar!!
Na hii ndiyo sababu inayonifanya nisiamini ikiwa kweli Maalim Seif aliomba kujiunga CHADEMA kwa sababu kwavile CHADEMA ilishakuwa strong, asingeweza kuiburuza kama anavyoweza kuiburuza ACT kadri atakavyo!! CHADEMA tayari ilishakuwa na misingi imara ya uongozi na viongozi wake walikuwa very influential unlike ACT ambayo ilikuwa ukimtoa Zitto, hamna kinachobaki!!!
Ambacho alifanya Maalim Seif ni kama alichokuwa amefanya Mrema alipoondoka NCCR!!! Ingawaje wakati ule CUF ilikuwa na nguvu lakini ali-opt kenda TLP kwa sababu alijua angewaburuza atakavyo, na kwali, hadi kesho anaendelea kuwaburuza, fursa ambayo pale CUF asingeipata!!!
Hivi huoni kwamba hapo nimelinganisha vyama viwili?!Chadema ina uongozi imara?
Huu ulioingizwa " force king" na akina Halima James Mdee na Esther Bulaya?!!!!
Kwani kuna Siku ambayo Mtu aliyebobea zaidi katika 'Unafiki' huwa anakosa 'Tawi' la 'Kuegamia ili aweze kuendelea na 'Unafiki' wake Uliomtukuka?Ni vigumu sana kuamini kwamba Zitto Kabwe ambaye wiki chache zilizopita alikuwa mshirika wa Chadema leo ni mshirika wa CCM. Nadhani maneno yangu hayatakuwa na nguvu kama hii picha. Najiuliza maswali mengi kama watanzania wengine, ila majibu sipati.
Zitto atawaambia nini watanzania kuanzia sasa? Hata watatetezi wake wanamchukuliaje?
Mwenye majibu atuambie kwamba Zitto Kabwe ni mpinzani au ni mtu wa haina gani maana kisiasa hajawahi kuaminika.
View attachment 1645023
Yupo ZanzibarNi vigumu sana kuamini kwamba Zitto Kabwe ambaye wiki chache zilizopita alikuwa mshirika wa Chadema leo ni mshirika wa CCM. Nadhani maneno yangu hayatakuwa na nguvu kama hii picha. Najiuliza maswali mengi kama watanzania wengine, ila majibu sipati.
Zitto atawaambia nini watanzania kuanzia sasa? Hata watatetezi wake wanamchukuliaje?
Mwenye majibu atuambie kwamba Zitto Kabwe ni mpinzani au ni mtu wa haina gani maana kisiasa hajawahi kuaminika.
Aliesema mimi Chadema naniIlakipindi kile wakati anasema atampigia kura na kumuunga tundu lisu, zito alikuwa shujaa na kamandaa. Chadema hamueleweki kabisaaa.
Ni afisa kipenyo daraja la kwanza.Ni vigumu sana kuamini kwamba Zitto Kabwe ambaye wiki chache zilizopita alikuwa mshirika wa Chadema leo ni mshirika wa CCM. Nadhani maneno yangu hayatakuwa na nguvu kama hii picha. Najiuliza maswali mengi kama watanzania wengine, ila majibu sipati.
Zitto atawaambia nini watanzania kuanzia sasa? Hata watatetezi wake wanamchukuliaje?
Mwenye majibu atuambie kwamba Zitto Kabwe ni mpinzani au ni mtu wa haina gani maana kisiasa hajawahi kuaminika.
Kwahiyo kuungana kwao kutaponya roho za watu waliouliwa ili Mwinyi awe Rais ?Tatizo liko kwa vijana wengi wanaharakati wanaoipenda siasa lakini hawajuwi siasa.
Kilichotokea Zanzibar ni jambo la kwenye ulimwengu wa siasa, na tena kwenye siasa ya vyama vingi. Vijana wengi wakisikia upinzani, wanaamini upinzani ni jambo la milele.
Ukiwa mwanasiasa kuna wakati utakuwa mpinzani, na wakati mwingine ndani ya serikali. Nia njema ya mwanasiasa ni kutatua matatizo ya wananchi na sio kuweka harakati mbele huku ukiacha wananchi na shida zao nyuma.
KWAHIYO MAALIM AMEMEZA HUO MFUPA KWA SABABU MBOWE "HANA HUO UTAKATIFU"?CHADEMA ina influential gani Zanzibar ?
Zanzibar wana maamuzi yao hata wangekuwa CHADEMA, hakuna wa kuwazuia kufanya yao.
Ishtoshe Mbowe hana utakatifu huo wa kukataa nafasi kama hizo labda kama umezaliwa jana.
Ndugu yangu, tuwaache marehemu wapumzike, tusiwatumie kisiasa. Kifo haikatazi jamii kutoshirikiana kutafuta suluhisho la matatizo ya kijamii.Kwahiyo kuungana kwao kutaponya roho za watu waliouliwa ili Mwinyi awe Rais ?
Mkuu nenda kwa rasi Simba ukifunze ngeli! He deserves not he deseveToka scandal za Zitto CDM tangu 2013 nilishamfuta kwenye siasa za upinzani..
He is doing his job.. and to my instincts it pays him whatsever he deserve..
Cheap and easily manipulated