Hapo ni Soko Matola jirani na Loleza sekondari
Kwani kitonga ni mrima mkaree, pita Iringa -Dodoma kuna mlima unaitwa Nyang'olo irumba1
sasa Samaritan unataka kujua nini kuhusu jina langu, umepita Ifunda sec nini kiongozi, Ndo maskani bhana. Ndo wanajenga barabara ya rami kwa sasa, na King Cross atatafuta njia ya kwenda coz itakuwa Iringa-Dom sawa na Iringa-Njombe au Dar-Moro kwa sababu ni kilomita 260 Iringa-Dodoma
Hapo ni mwisho wa dunia kwa mbele kidogo!! unachungulia ahera!!
Labda kipindi cha Masika na ukuritimba wa wenye magari si unajua walikuwa Monopoly kwenye hii njia. Saa hizi kuna gari inaitwa ROSHEN inatoka Dom saa 12:30 inaingia Iringa saa saba na nusu mchana. Halafu inakwenda mpaka Mafinga Samaritan
baadhi ya pic zinafanana na ngorongoro lkn siyo penyewe,itakuwa nje ya Tzhapo milima ya ngorongoro
Kwani kitonga ni mrima mkaree, pita Iringa -Dodoma kuna mlima unaitwa Nyang'olo irumba1