Kishindo Mkutano Mkuu CHADEMA ; Mabalozi na Taasisi za Kimataifa wathibitisha kushiriki!

Ikiwa hao mabalozi na mashirika mengine ya kimataifa watashiriki huo mkutano mkuu wa Chadema na kishindo chake kuvuma kiasi kosa linatokana na CCM wenyewe na serikali yake. Binafsi sitashangazwa na kishindo hicho kwa sababu kila mwenye akili timamu anaona jinsi Chadema na wapinzani wanavyominywa.

Binafsi huwa nashangaa na kujiuliza hii hofu ya serikali kwa wapinzani inatokana na nini wakati Watanzania wanaona jinsi JPM na serikali yake wanavyojitahidi kufanya kazi nzuri kuliko matarajio tuliyokuwa nayo awali.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SAHIHISHA HAPO WEKA ATAHUTUBIA WANACHAMA SI KUHUTUBIA TAIFA
Kwa nini unafukiri si sahihi kusema atalihutubia taifa hasa ukizingatia kuwa atakuwa mubashara kwa kila mtanzania atakayetune in kumsikia na kumuona?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Itakuwa historia.Ndivyo tunavyoweza kusema kwani mkutano mkuu wa CHADEMA Desemba 18 utahudhuriwa na taasisi na mashirika makubwa ya ndani na nje ya nchi pengine kwa mara ya kwanza katika historia ya mikutano mikuu ya vyama.

Chanzo kimoja cha Taarifa kutoka ndani ya chama hicho chenye wanachama milioni 6 ni kwamba tayari mabalozi 14 wanaowakilisha nchi zao hapa nchini wamethibitisha kushiriki mkutano huo wakiwemo mabalozi wa mataifa makubwa duniani.

Pia inadaiwa Taasisi na mashirika mbalimbali zaidi ya 19 tayari yamethibitisha kushiriki katika mkutano mkuu huo ambao umekuwa gumzo ndani na nje ya nchi kwa Takribani mwezi mmoja sasa.Mojawapo ya Taasisi kubwa duniani inayotarajiwa kutuma wawakilishi wake ni Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International

Pia wanazuoni,viongozi wa dini,wafanyabiashara wakubwa,vyama vya siasa na watu kadhaa mashuhuri wamepewa mialiko kuhudhuria mkutano mkuu huo.

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe anatarajiwa kulihutubia Taifa kupitia mkutano mkuu katika hotuba inayotarajiwa kuchukua saa mbili.Katika hotuba hiyo Mbowe anatarajiwa kuhitimisha utawala wake wa miaka mitano na kutoa mwelekeo wa chama hicho kwa miaka ijayo.

Katika kuelekea mkutano mkuu wa Desemba 18 ulinzi umeimarishwa katika maeneo yote ya Mlimani City ulipo ukumbi utakaotumika huku askari waliovalia kiraia na wenye sare wakionekana kurandaranda wakiwemo vijana wa ulinzi wa chama hicho Red Brigade.
Nimetoka muda huu Mlimani City....hali ya kawaida sana usiwadanganye wa mikoani.

Ataomba tena MARIDHIANO Kama alivyofanya Mwanza.

Mwenyekiti hana namna zaidi ya Kusarenda
 
Ikiwa hao mabalozi na mashirika mengine ya kimataifa watashiriki huo mkutano mkuu wa Chadema na kishindo chake kuvuma kiasi kosa linatokana na CCM wenyewe na serikali yake. Binafsi sitashangazwa na kishindo hicho kwa sababu kila mwenye akili timamu anaona jinsi Chadema na wapinzani wanavyominywa.

Binafsi huwa nashangaa na kujiuliza hii hofu ya serikali kwa wapinzani inatokana na nini wakati Watanzania wanaona jinsi JPM na serikali yake wanavyojitahidi kufanya kazi nzuri kuliko matarajio tuliyokuwa nayo awali.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
Na huo ndiyo mshangao
 
Chadema mpango ndio habari kwa sasa
CHADEMA NI MSINGI✌🏾✌🏾✌🏾💪🏾💪🏾💪🏾
 
Ni utaratibu wa mabolozi kuhudhuria?

Kuna statement Mwenyekiti amesema "hatapenda kuona chama kinafanya yale kinacho yakemea...."

Hili vili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini unafukiri si sahihi kusema atalihutubia taifa hasa ukizingatia kuwa atakuwa mubashara kwa kila mtanzania atakayetune in kumsikia na kumuona?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante sana
 
Back
Top Bottom