Kishindo IPTL: Yahofiwa Pinda atajiuzulu

Kishindo IPTL: Yahofiwa Pinda atajiuzulu

Hivi hii nchi ina vijana kweli? na kama wapo,je wanajua wajibu walionao kwa taifa na uzao wao,nchi ya watu mil 45,tumekubal kabisa kugeuzwa kama samaki na waPUMBAVU wachache,wanacheza na jasho za miili yetu bila aibu na hofu ya mungu,VERY SAD KWA KWELI.
 
Huyo hata asipewe nafasi ya kujiuzulu, uchunguzi ukikamilika ni wa kufukuzwa tu! Kafeli pakubwa!
 
PINDA, WEREMA, TIBAIJUKA, MUJILIZI, RWANGISA Musto Go! Hakuna namna... Hapa inaonyesha hata shinikizo la kulipa kutoka mahakamani iliandaliwa na hao majaji !!! Ujinga wao ni pale waliposhindwa kufunika madai ya TANESCO dhidi ya IPTL ... Nitamshangaa JK kama atafumbia macho haya madudu ....
 
jama!!!!! tunajifunza kitu au yetu masikio na maneno tu? lini tutabadilisha hali hii ya UDANGANYIKA? TUAMKE SASA'
 
...Mama%$#&*@ wanachota mpaka bilioni nane huku nchi inaangamia, hospitalini hakuna madawa, elimu inaanguka kwa kiwango cha kutisha, maji na umeme ni mgogoro mkubwa. Kila sekta nchini ni shakalabaghala. Halafu wahuni hawa wanataka eti kuitawala Tanzania milele!!!

Jumamosi, Novemba 15, 2014


*Wakubwa wavuta milioni 100 hadi bilioni 8]
 
Kujiuzulu ndio mdudu gani ?apelekwe mahakamani m.se.. Huyu huku wanakoelekea watasababisha nipigwe ban hapa jf lakini siogopi whatever.
 
Huyu mama Tibaijuka nae angekaa kimnya tuu ivi kaka huyo anaekupa hela yote hiyo huo u professor aliupata nyumbani au alienda shule? Hizo pumba anazo ongea wala si Za elimu alokua nayo, anyamaze asuburi hatma yake,lakini Duu 🙆hata sijui aaminiwe Nani huyu mama nilivyokua namuheshimu Kumbe na yeye FISADI...
 
Ningemshauri tu Prof wa Kichina abaki huko huko tu na familia yake, huku atuletee barua ya kumwaga ugali.
Mkuu hii ni ndoano ya ulimi lazima mkulu au PM wang'oke japo kwa mkulu historia itazingatiwa.
 
Kujiuzulu ndio mdudu gani ?apelekwe mahakamani m.se.. Huyu huku wanakoelekea watasababisha nipigwe ban hapa jf lakini siogopi whatever.

Sema mwaya Kama mbwai ni mbwai tuu, sasa akisha jiuzulu hiyo pesa Ana rejesha au ndio vp? Au anakua mbunge kama E.L ?
 
Kwanini tusiandamane kuanzia sasa au kesho alfajr tukutane mnazi mmoja cc wa dar, dodoma viwanja vya bunge, arusha waende karume, mwanza nyamagana wasipojiuzulu tuchome bunge, ikulu na tbc! tuone kama jk wa pili mwz atarudi!

naunga mkono wanaJF tujiandae kwa maandamano yasiyo na kikomo nchi nzima Jk alishakiri akiwa china amechoka anatamani muda wake uishe akachunge mbuzi chalinze naona tutachelewa serikali ya ccm imeshachakaa hafai tena tutatakiwa kuitoa madarakani kw nguvu ya umma.
 
nashangaa sana hiki kichwa kimoja tu cha James Rugemalila ndio kinalizungulusha bunge na serikali yoote inacheza kushoto kulia miaka yooote hiyo.hii nchi bana tabu sana kwakweli
 
Back
Top Bottom