Kishindo cha Mbowe chatikisa bunge, Amtaka Waziri mkuu kutoa ufafanuzi juu ya Corona na Tume huru ya uchaguzi

Kishindo kipi hapo zaidi ya kunyoa kipara ngoto
Embu hizi shule na vyuo vifunguliwe Tu.... Hivi na wewe unaona umechangia?

Tatizo la baadhi ya Watanzania wanaangalia ni nani kachangia kutoa maelezo badala ya kukipa kipaumbele kilichozungumzwa

Unajua hili janga la Corona lina effect gani kwenye sector ya afya..... Sanitizer iliyokuwa inauzwa 20000 saizi laki 120 na bado unazungumza utumbo humu?

Badilika mkuu

Foolish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti Nondo tano, sio kokoto?

Jamaa kawaroga sana Bavicha kiasi kwamba hamna jeuri ya kuuliza hata ruzuku

Kila siku tunaona ruzuku inaulizwa humu, au huna uhakika na sauti zenu? Report ya CAG haijaisifu CHADEMA wala CCM, ingependeza na wewe tuone ukihoji hayo matumizi ya CCM, ila wanacdm nao waige kwenu.

Au wewe ni wale bendera fuata upepo ukisikia watu wamesema ruzuku inaliwa, basi na ww unarukia ili ionekane hata ww ulisema.
 
Hii ya kusema eti Taifa linahitaji maridhiano ni usanii wa hali ya juu sana

Hii nchi na watu wake hawana mgogoro huo yeye na ulafi wake wa madaraka ndo anataka kuwaaminisha watu eti kuna hitajika maridhiano

Kwanini asifanye hayo maridhiano kwenye chama chake ambacho kila kukicha Viongozi wanabwaga manyanga

Wewe fikiria taasisi gan ambayo haina wastaafu ? wote wananyanyaswa mpaka wanakimbia
 
Kalamu1,
Pia, ni Bora kuwa na watu wachaache sana JF wenye uwezo wa kumhoji hata Mbowe kwenye Yale wanayoamini kuwa ndio kikwazo cha Chama kupiga hatua, kuliko kuwa na watu Elfu Elfu ambao kazi Yao ni kukejeli juhududi za wauliza luzuku ndani ya Chama wakisahau kwamba hata Wao ni wahanga

Wakati CCM wakishukiwa kuwa waimba Pambio, Chadema nao hawajaachwa nyuma kusifia kila kiachofanywa na M/kiti Wao

Mambo ni yaleyale, kuimba mapambio na kuimba sifa, bado ni kitu kilekile,

Ni Sawa na kusema, Nyani kumcheka mwenzie kwamba anakund....kubwa kuliko lake, kumbe vile hajioni
 
Nawasihi Watanganyia,
Msipokubali kufanya maridhiano ya kitaifa na upinzani, Litakalotokea msije mkamlaumu Mbowe.

Mwenzenu anawatakia mema kama taifa CCM munaendelea kulazimisha mitafaruku,
Munadhani Tanzania hakiwezi kunuka kama Sudani? Au kama Syria?
Sisi ni sehemu ya dunia,

lolote linaweza kutoke popote.
 
Ni ukweli usiyofichika... Mapato ya serikali yatapungua...

Alafu utakuja kusikia serikali imevuka malengo kwenye ukusanyaji wa mapato... wakati hali yenyewe inaonekana tete.

Covid19: Biashara nyingi zinasusa sua, maana mapato yatapungua...

Kazi nyingi zitafungwa au watu kupunguzwa, maana michango ya PAYE, WCF, Hifadhi za jamii, VAT, Income Tax, coperate Tax na nyinginezo zitapungua.

Cc: mahondaw
 
A public debate has been announced regarding the politics of Tanzania and the fight against Covid19. John Joseph pombe in one corner and Freeman aikael in another corner.

Guess who shall win. The debate is in English and international moderators and judges shall be involved.
 
Back
Top Bottom