Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,602
- 5,569
Mkuu mawazo yako yameishia kwenye ruzuku tu?Eti Nondo tano, sio kokoto?
Jamaa kawaroga sana BAVICHA kiasi kwamba hamna jeuri ya kuuliza hata ruzuku
Huwezi waza maendeleo na hatma ya nchi?
Mbona huwa hamuwaongelei Mrema, Cheyo... Lipumba... Dovutwa na wengineo? Ama kuna mwiba na uyoga?