Kishindo cha FRN ya Joseph Kabila

Kishindo cha FRN ya Joseph Kabila

🇨🇩 FRN | HATUA MOJA ZAIDI KUELEKEA UJENZI UPYA WA TAIFA!

FRN imepokea kundi la kwanza la magari ya Toyota Land Cruiser Series 70, aina ya magari ya kijeshi yenye mfumo wa kuendesha magurudumu manne (4x4), yaliyokusudiwa kwa ajili ya ARC, jeshi jipya la Kongo. 🪖🚙

Magari haya imara yameundwa kwa ajili ya usafirishaji na safari katika maeneo yenye ardhi ngumu na barabara zisizopitika kwa urahisi.

🇨🇩 Ujenzi upya wa taifa unatekelezwa pia kwa vitendo. Mbele kuelekea taifa lenye nguvu na mamlaka kamili ya kujitawaView attachment 3696399ala

frn
Felix Tshisekedi hana maarifa.Unawezaje kumhukumu Rais mstaafu kifo wakati unajua anawatu ndani ya dola wanampenda na kumwamini,anajua siri nyingi.Kama angekuwa na akili alipaswa kutumia njia za diplomasia kuliko nguvu.Congo inaweza kuingia kwenye vita kali sana
 
Wherefore dost thou present the unmistakable semblance of an exceedingly anachronistic and obsolescent personage of profound antiquity? Upon the portable cellular apparatus in thy possession, is Google conspicuously and inexplicably absent? Or ChatGPT???? or indeed Grok? A not inconsiderable proportion of the interrogatives propounded exhibit a degree of egregious inanity and puerile asininity that borders upon the intellectually insufferable.
Sifa za kijinga..kwanini usiandike kingeleza rahisi?
 
Huwa najiuliza hivi vifaa vya waasi huwa vinapita bandari/ Barabara gani hadi kuingia huko Kongo?...
Kwani kuna Sheria inakataza bandari kupitisha zana za kivita? Kwani adui yako ni adui yangu? Wapinzani wao ndo wanawaita Waasi. Lakini hao hao waasi kuna wanao waunga mkono. Mara nyingi uminywaji wa demokrasia ndo huuzaa vikundi vya Waasi..

Silaha zipo nyingi sana.. Hata wewe ukiwa na kikundi chako uunapata vifaru vya mkopo.
 
Kabila bado anautaka urais wa Congo kwa nguvu zote hata ikilazimu kumwaga damu za watu.
 
Wherefore dost thou present the unmistakable semblance of an exceedingly anachronistic and obsolescent personage of profound antiquity? Upon the portable cellular apparatus in thy possession, is Google conspicuously and inexplicably absent? Or ChatGPT???? or indeed Grok? A not inconsiderable proportion of the interrogatives propounded exhibit a degree of egregious inanity and puerile asininity that borders upon the intellectually insufferable.
Hii English ngumu.
 
Hapana. Tungeonaa... Hizi wanazishusha Msa port then north corridor route to Uganda kama legit sale.. then ikifika border Kisoro/Bunagana ndio zinawafikia

Au north corridor zikifika Rwanda kama legit business in Kigali... Then zinatembea Hadi Gisenyi/Rubavu ndio zinawafikia hivyo.
Utaona wakitaka uone vinginevyo you can't see shit.
 
Back
Top Bottom