Kishindo cha FRN ya Joseph Kabila

Kishindo cha FRN ya Joseph Kabila

Inawezekana mfumo uliotengenezwa na mfaransa/ mbelgiji ni dhaifu
Hapana huku kwetu majenerali wengi hawana shule kubwa zaidi ya military academy na wanakuwa bribed sana na watawala. Kwa East Africa kidogo Uganda ndo kulikuwa na kikundi cha uasi ambacho hakikufanikiwa refer Joseph Kony.
 
🇨🇩 FRN | HATUA MOJA ZAIDI KUELEKEA UJENZI UPYA WA TAIFA!

FRN imepokea kundi la kwanza la magari ya Toyota Land Cruiser Series 70, aina ya magari ya kijeshi yenye mfumo wa kuendesha magurudumu manne (4x4), yaliyokusudiwa kwa ajili ya ARC, jeshi jipya la Kongo. 🪖🚙

Magari haya imara yameundwa kwa ajili ya usafirishaji na safari katika maeneo yenye ardhi ngumu na barabara zisizopitika kwa urahisi.

🇨🇩 Ujenzi upya wa taifa unatekelezwa pia kwa vitendo. Mbele kuelekea taifa lenye nguvu na mamlaka kamili ya kujitawaView attachment 3696399ala

frn
Waasi wanapata hela wapi?
Vita ni biashara ya matajiri,
 
Na nyingi zilitawaliwa na mfaransa
Ee ndo unakuta Mali, Burkina Faso, Ivory Coast, Mauritania, Guinea etc lakini nchi iliyopinduliwa mara nyingi Africa ni Ghana ikifuatiwa na Nigeria ambazo zimetawaliwa na Great Britain (huko wale Juntas wana shule na exposure pia)
 
Hapana huku kwetu majenerali wengi hawana shule kubwa zaidi ya military academy na wanakuwa bribed sana na watawala. Kwa East Africa kidogo Uganda ndo kulikuwa na kikundi cha uasi ambacho hakikufanikiwa refer Joseph Kony.
Kwa East Africa


umeandika nini kwani kongo iko wapi?
 
Ee ndo unakuta Mali, Burkina Faso, Ivory Coast, Mauritania, Guinea etc lakini nchi iliyopinduliwa mara nyingi Africa ni Ghana ikifuatiwa na Nigeria (huko wale Juntas wana shule na exposure pia)
Wanajeshi walioenda kujifunza/kusomea ufaransa katika kozi zao kuna mtaala wa namna ya kufanya mapinduzi, inawezekana ndio ikawa chachu kwenye ukanda wa Afrika magharibi.
 
Congo kiramani iko Africa ya Kati, ila majuzi tu ndo wamejiunga na EAC. Basically Kiramani Congo haiko Afrika mashariki, bali imejiunga na Jumuiya ya Africa Mashariki.
vipimo vyako umepimia wapi????????????????/russia iko asia au europe??????????//
 
Dar es Salaam.

Hapana. Tungeonaa... Hizi wanazishusha Msa port then north corridor route to Uganda kama legit sale.. then ikifika border Kisoro/Bunagana ndio zinawafikia

Au north corridor zikifika Rwanda kama legit business in Kigali... Then zinatembea Hadi Gisenyi/Rubavu ndio zinawafikia hivyo.
 
Nyaraka zinasemaje?, unapitisha siraha kwenda kupindua serikali ya nji nyingine?..hao wafadhili watakuwa wana nguvu sana.
Ngoja nikumbushe kidogo mwaka 2008 Pirates wa kisomali waliteka meli moja ya Ukraine, hiyo meli ilikuwa imebeba silaha nzito za kijeshi zikiwemo Vifaru 33 vya kirusi.
Wasomali wakatangaza wamekamata meli yenye silaha na wanataka kitita chao
Meli ilikuwa inaenda Mombasa lakini documents zilikuwa zinasema ni mzigo wa Southern Sudan kwa siri kubwa na Kenya walikuwa wanalijua hilo

Ilikuwa ni aibu kubwa sana ingawa wanafanya sana haya
 
Hii nchi inaenda kugawanyika au kuwa na vita zisizo na mwisho. Tshisekedi alikosea kumhukumu Kabila kifo na kutaka kumfilisi pamoja na kutaka muhula mwingine kinyume na katiba.

Kabila hana cha kupoteza.
Inaonekana Wabelgiji, Kagame wapo upande wa Kabila.
 
Back
Top Bottom