Kishimba: Asilimia 90 ya Wataalam wetu wanajua tu Kusoma na kuandika lakini hawana Maarifa yoyote!

Mbunge wa Kahama Kishimba amesema 90% ya Wataalam wetu wanajua Kusoma na Kuandika lakini hawana Maarifa yoyote

Kishimba amesema mambo mengi ya maendeleo Kule chini yamekwamishwa na hao wanaojiita Wataalam

Kishimba amesema mfano fedha yote aliyotoa mama Samia kwa ajili ya ujenzi wa Shule zaidi ya tsh trillion 1 na ushee ambayo ni mkopo wameenda kumpa Dangote na Wachina wa ALAF ilhali Matofari ya kuchoma ni Bora na kuna Majengo ya Shule na Makanisa Yana zaidi ya miaka 100 sasa

Kishimba Amelia Kuwa watakaolopa fedha ya mkopo aliyopewa Dangote ni Watoto na Wajukuu zetu, tujaribu kuwahurumia

Source Bungeni
Kama kishimba ameongea siongezi chochote ,kuna watu wakitoa maoni kuhusu wasomi hauwezi kuwapinga mwingine ni Dr. Msukuma.
 
Mipango inatakiwa kuanzua juu, hivi kweli unaona ni sahihi kununua nguzo za umeme kutoka nje ya nchi?si ni upumbavu
Sijakuelewa vizuri.
Nadhani mipango inategemea aina ya miradi itakayotekelezwa, kama mtekelezaji ni serikali kuu basi lazima mipango ianzie juu na kama mtekelezaji ni halmashauri au wananchi mipango lazima ianzie chini. Hii itawawezesha bajeti kupangwa kulingana na aina ya kazi zitakazotekelezwa na muda wa utekelezaji.
 
Na wewe kwa akili yako unaona Kishimba amekataa gari ya mkopo?. Na hio real estate yake haina mkopo hatowacha deni kwa kizazi chake?.
Gari ya mkopo wanachukua Wabunge Maskini akina Waitara, Matiko nk Usiwe tutusa😂😂
 
Mbunge wa Kahama Kishimba amesema 90% ya Wataalam wetu wanajua Kusoma na Kuandika lakini hawana Maarifa yoyote

Kishimba amesema mambo mengi ya maendeleo Kule chini yamekwamishwa na hao wanaojiita Wataalam

Kishimba amesema mfano fedha yote aliyotoa mama Samia kwa ajili ya ujenzi wa Shule zaidi ya tsh trillion 1 na ushee ambayo ni mkopo wameenda kumpa Dangote na Wachina wa ALAF ilhali Matofari ya kuchoma ni Bora na kuna Majengo ya Shule na Makanisa Yana zaidi ya miaka 100 sasa

Kishimba Amelia Kuwa watakaolopa fedha ya mkopo aliyopewa Dangote ni Watoto na Wajukuu zetu, tujaribu kuwahurumia

Source Bungeni
Huyo mzee akaishia darasa gani?

Anastahili kupewa uprofesa wa heshima.
 
Kishimba anapenda kutupa lawama sana kwa watalam na wasomi, surprising hii Ni sifa mojawapo ya mtu mjinga. Huyu mzee Ni mjinga sana, bila shaka atakuwa ana Matako makubwa!
mara kadhaaa anaongea moshii mwingi sana uliochanganyikana na uwoga, kutokujiamini , makelelee... Hovyooo
We mtaalamu wa nini
 
Back
Top Bottom