Hahahahaha mwe.!Kuna kanuni huwa hazisomeki kutokana na miwani yao kuwa na lenzi mbonyeo! Inalifanya jicho kuwa kubwa badala ya maandishi.
UsikarirMimi kwa uelewa wangu Mhe. Rais ana mamlaka ya kuwateua Wakurugenzi wa MAJIJIJI tu. Wakurugenzi wa Manispaa, Wilaya na Miji wanateuliwa na Mhe.Waziri Mkuu. Mimi nashauri kama ndiyo utaratibu basi wenzetu wa Utumishi wa Umma hawakumshauri Mhe.Rais kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni kitu ambacho ni dosari kubwa sana. Lazima nchi iongozwe kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni.
back to schooll.Tamisemi iko chini ya ofisi ya rais kwahiyo anamamlaka ya kuteua wakurugenzi
Hivi umeelewa hoja ya mleta hoja?Tamisemi iko chini ya ofisi ya rais kwahiyo anamamlaka ya kuteua wakurugenzi
Sio kweli, TAMISEMI iko chini ya ofisi ya waziri mkuu.Tamisemi iko chini ya ofisi ya rais kwahiyo anamamlaka ya kuteua wakurugenzi
Amekujibu sahihi ila wewe ndiyo hujamuelewa nadhaniHivi umeelewa hoja ya mleta hoja?
Kwani wizara gani haipo chini ya Rais?Tamisemi iko chini ya ofisi ya rais kwahiyo anamamlaka ya kuteua wakurugenzi
Hapana, Wakurugenzi wanateuliwa na Waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa. Zamani Waziri mwenye dhamana hiyo alikuwa ni Waziri Mkuu kwa sababu ilikuwa ikiitwa Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI. Kwa sasa, Rais ameiondoa chini ya Waziri Mkuu na ameipeleka Ofisini kwake na inaitwa Ofis ya Rais - TAMISEMI. Tafsiri yake ni kwamba Rais ndiye mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa na sio Waziri Mkuu tena. Hivyo, Rais ambaye ni mwenye dhaman ya TAMISEMI ndo anapaswa kuteua Wakurugenzi. Nawasilisha wakuu!!!
Ukweli mchungu, watu watajifanya hawajasoma hii input yakoHapana, Wakurugenzi wanateuliwa na Waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa. Zamani Waziri mwenye dhamana hiyo alikuwa ni Waziri Mkuu kwa sababu ilikuwa ikiitwa Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI. Kwa sasa, Rais ameiondoa chini ya Waziri Mkuu na ameipeleka Ofisini kwake na inaitwa Ofis ya Rais - TAMISEMI. Tafsiri yake ni kwamba Rais ndiye mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa na sio Waziri Mkuu tena. Hivyo, Rais ambaye ni mwenye dhaman ya TAMISEMI ndo anapaswa kuteua Wakurugenzi. Nawasilisha wakuu!!!