Kisheria nani ana mamlaka ya kuwaetua Wakurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa, Wilaya na Miji?

Mimi kwa uelewa wangu Mhe. Rais ana mamlaka ya kuwateua Wakurugenzi wa MAJIJI tu. Wakurugenzi wa Manispaa, Wilaya na Miji wanateuliwa na Mhe.Waziri Mkuu.

Mimi nashauri kama ndiyo utaratibu basi wenzetu wa Utumishi wa Umma hawakumshauri Mhe.Rais kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni kitu ambacho ni dosari kubwa sana.

Lazima nchi iongozwe kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni.
Nadhani wakati anaanza kuhutubia alieleza kuwa ameamua kuisimamia mwenyewe wizara ya tamisemi
 
Waziri mkuu ndiye mwenye mamlaka hayo, lakini kama Lissu alivyosema wazir mkuu na wenzake hawana instruments toka kwa rais.
Nchi inaongozwa na mtu mmoja.

Waziri Mkuu anaingiliwa majukumu na rais na ndo maana Majaliwa hasikiki siku hizi,
 
Back
Top Bottom