Kisheria nani ana mamlaka ya kuwaetua Wakurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa, Wilaya na Miji?

koryo

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
639
276
Mimi kwa uelewa wangu Mhe. Rais ana mamlaka ya kuwateua Wakurugenzi wa MAJIJI tu. Wakurugenzi wa Manispaa, Wilaya na Miji wanateuliwa na Mhe.Waziri Mkuu.

Mimi nashauri kama ndiyo utaratibu basi wenzetu wa Utumishi wa Umma hawakumshauri Mhe.Rais kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni kitu ambacho ni dosari kubwa sana.

Lazima nchi iongozwe kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni.
 
Mimi kwa uelewa wangu Mhe. Rais ana mamlaka ya kuwateua Wakurugenzi wa MAJIJIJI tu. Wakurugenzi wa Manispaa, Wilaya na Miji wanateuliwa na Mhe.Waziri Mkuu. Mimi nashauri kama ndiyo utaratibu basi wenzetu wa Utumishi wa Umma hawakumshauri Mhe.Rais kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni kitu ambacho ni dosari kubwa sana. Lazima nchi iongozwe kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni.
Usikarir
 
hapa ndio tunaona tofauti ya kagame na rais wetu kukurupuka kagame alikuja tanzania kuwachukua wataalamu kwenda kumfanyia kazi za kuleta maendeleo huku mtu kama alitoa machozi kwa kutaja CCM ni utaalam wa kupewa cheo ngoja tuone anguko kubwa ambalo halijawahi kutokea
 
Hapana, Wakurugenzi wanateuliwa na Waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa. Zamani Waziri mwenye dhamana hiyo alikuwa ni Waziri Mkuu kwa sababu ilikuwa ikiitwa Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI. Kwa sasa, Rais ameiondoa chini ya Waziri Mkuu na ameipeleka Ofisini kwake na inaitwa Ofis ya Rais - TAMISEMI. Tafsiri yake ni kwamba Rais ndiye mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa na sio Waziri Mkuu tena. Hivyo, Rais ambaye ni mwenye dhaman ya TAMISEMI ndo anapaswa kuteua Wakurugenzi. Nawasilisha wakuu!!!
 
Hapo ndipo kwenye jibu, na pameleta mkanganyiko kua tamisemi iko chini ya ofisi ya Raisi mwingine ya Wazili mku nani yuko sahi wakuu.
 
Hapana, Wakurugenzi wanateuliwa na Waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa. Zamani Waziri mwenye dhamana hiyo alikuwa ni Waziri Mkuu kwa sababu ilikuwa ikiitwa Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI. Kwa sasa, Rais ameiondoa chini ya Waziri Mkuu na ameipeleka Ofisini kwake na inaitwa Ofis ya Rais - TAMISEMI. Tafsiri yake ni kwamba Rais ndiye mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa na sio Waziri Mkuu tena. Hivyo, Rais ambaye ni mwenye dhaman ya TAMISEMI ndo anapaswa kuteua Wakurugenzi. Nawasilisha wakuu!!!

Sahihi kabisa huu ndiyo ukweli. Tatizo waliompelekea majina Mhe Rais ni washauri wa chama siyo washauri wa Serikali au usalama.

Kigezo kikubwa kilichotumika kwenye uteuzi ni kuwa mgombea aliyeshindwa uchaguzi.
 
Hapana, Wakurugenzi wanateuliwa na Waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa. Zamani Waziri mwenye dhamana hiyo alikuwa ni Waziri Mkuu kwa sababu ilikuwa ikiitwa Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI. Kwa sasa, Rais ameiondoa chini ya Waziri Mkuu na ameipeleka Ofisini kwake na inaitwa Ofis ya Rais - TAMISEMI. Tafsiri yake ni kwamba Rais ndiye mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa na sio Waziri Mkuu tena. Hivyo, Rais ambaye ni mwenye dhaman ya TAMISEMI ndo anapaswa kuteua Wakurugenzi. Nawasilisha wakuu!!!
Ukweli mchungu, watu watajifanya hawajasoma hii input yako
Wabongo ni wajuvi tu bila ujuzi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom