Kisha Kuhani Mkuu akamtetea Bashite akisema...

Daaaaaadekiiii Jf kweli tunapambana na Hali zetu ,ka utani nyuzi inazidi kutiririka tu
 
"Basi Bwana yule na akawaagiza vijakazi wengine kuiga kwa nyapara mkuu wa mji ule unaosadikika"

Waraka wa 2 wa Joni kwa Bashite
 
d57112f04b85488b8f7dd665b836aa3e.jpg
 
Hata muda wake ulipokwisha, kuhani mkuu akajinadi kwa wanafunzi wake.Je hamuoni ni vema mkanipigia kura tena! Nao wakajibu huku wakitazama chini, kwa kuwa hukuja kutafuta mchumba basi ya mkeo kura yatosha.
Walifadhaika mioyoni; walitamani wamuulize kama yeye ni yule aliyetabiriwa, au tumsubiri mwingine. Lakini wakafunguliwa, Tazama! Jibu walishalipata.
 
Lumumba 3: 1 - 2 Enyi wananchi ya makinikia ni nani aliyewaroga ... nataka kuwafundisha kwamba vyeti feki wanatumbuliwa wale ambao hawapigani vita dhidi ya madawa ya kulevya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom