Kisha Kuhani Mkuu akamtetea Bashite akisema...

BASI WAFUASI WAKE WAKAMFUATA NA KUMWAMBIA, MKUU, TUSIKILIZE SHIDA ZETU, KUHANI AKAJIBU, AMINI NAWAAMBIA, ASYEFANYA KAZI NA ASILE NA ASIPOKULA AFE TU NA TENA NAWAAMBIA HAYO MABANGO YENU SITAYASOMA, NI VEMA MNGEYATANDIKA MKALALIE NA WAKE ZENU.
 
Kama ilivyoandikwa na Nabii Lumumba katika kitabu kisichojulikana 15:8 neno hilo linasema

"Naye Sizonje atawapandishia mungu wakazi wa ule mji mkuu ajulikanaye kama bashite akawatetemeshe kwa mda wa miaka saba.Watamuogopa na atafanya udhalilishaji mbele yao hapo ndo watakapojua mimi sizonje huu mzigo kweli nilisukumiziwa"
 
Kuhani Mkuu baada ya kumpaka mafuta ya mgongo mnyapara alitembea kwa mikogo ya hali ya juu kuelekea aliposimama nyapara Mkuu na kumpakata huku akikenua kenua bila mpango na kumpet pet nyapara Mkuu. Baada ya dakika chache kuhani mkuu alimuweka mgongoni nyapara Mkuu na kumfunga mbeleko na kutokomea naye kusikojulikana.

"Basi Bwana yule na akawaagiza vijakazi wengine kuiga kwa nyapara mkuu wa mji ule unaosadikika"

Waraka wa 2 wa Joni kwa Bashite
 
Basi wakati J anaendele kuwabatiza, Ndipo kusanyiko lilipomuuliza; Wewe unatubatiza lakini hujatuambia ndiye masihi?
Naye J akawajibu, mimi nawabatizeni kwa maji lakini huyu ajae atawabatiza kwa moto. Makamba 20;10:2015
 
d57112f04b85488b8f7dd665b836aa3e.jpg
.
 
Kama ilivyoandikwa na Nabii Lumumba katika kitabu kisichojulikana 15:8 neno hilo linasema

"Naye Sizonje atawapandishia mungu wakazi wa ule mji mkuu ajulikanaye kama bashite akawatetemeshe kwa mda wa miaka saba.Watamuogopa na atafanya udhalilishaji mbele yao hapo ndo watakapojua mimi sizonje huu mzigo kweli nilisukumiziwa"
Heeeh
 
Uu huzi unaenda page ya 3 hila mrs makonda cocochanel ajaonekana mkulu kayamwaga maji

Kwanza komwa kuniita hivyo... looo huna aibu eeeeh

Kayamwaga kivipi?
Mnambadilishia maneno.. aliongea juu ya porojo zenu na sio Makonda alivyo. Pia mnanijazia alerts ambazo ni - likes
Kwenye mamia mnategemea nitaona posts zenu haraka!?
 
Imekuwaje unaikana ndoa hadharani?
Yaani kweli wewe leo unakataa!!!?
Hata kama ni utani lakini acha hizo basi mrs bashite!
 
Ufunuo wa Tundu Lissu kabla ya kuzigeuza risasi kuwa maji akiwa dodoma.

Nikamuona kunguru mwenye mbawa tatu na mdomo wa chuma na kucha mfano wa visu vya wachonga masanamu ya baali.
Manyoya ya kunguru yule ni kama nzige waliotayari kushambulia nyika. Miguuni alining'iniza smg yenye mitutu minne kila upande.
Na zile mbawa tatu ni kwa ajili ya bunge, serikali na mizani ya haki.

Kunguru akanyanyua midomo yake akalia:
Ole ole ole wao wakaao juu ya nchi ya danganyika.
=======Inaendelea=======
 
endelea....
 
"Enyi wana wa nchi ya makinikia,sitamuondoa mkuu wa mji wa bandari salama hata kama haijui 'a',yeye ni mmoja wao wachapakazi na wengine waige mfano wake.Baada ya kusema hayo Bashite akatabasamu na kujipiga piga kifuani akisema;na uhimidiwe kuhani mkuu,kwa maana itaandikwa ukae miaka 7 au zaidi ikikupendeza."
[waraka wa Polepole kwa wanalumumba 2:2-9]

endelea....
Nikamuona mfalme amekaa kwenye kiti chake cha enzi naye amejifika kwa mavazi ya fedha, aliyeshika mkononi kitu kama mti mkavu wenye moto wa kufisha.

Akauvunjavunja mti ule vikatokea vijiti viiiingi vyenye uwezo sawa na tabia za kufanana.

Vijiti vile akavigawa kwa kundi kubwa la watu wasioonekana, wote wakawa tayari kuvitumia pindi amri ikitolewa!

Vijiti vile vina miisho minne, ambayo hutoa moto uuao wote wamwaduo MUNGU.

Nikaona moto na kusikia kishindo kishindo kama cha mtu anakohoa mfululizo, mtu mmoja asiyeonekana aliyepewa kijiti kimoja aliamriwa kukitumi!

Alipigwa Mtumishi wa Mungu Ponda bali mauti haikupewa mamlaka juu yake.

Hapo awali Kijiti kilitumika kwa majaribio kikamuua yule askari shupavu Kombe!

Nikakiona kijiti maeneo ya dodoma kikiwa tayari kutumika, nao waliokibeba nikawatambua, mimi tu ili kukujuza wasioonekana hao!

Wakaifyatua mitego ya mioto ile kunielekea, lengo kuu ni kunipeleka kuzimu.
MUNGU akasimama kumkemea shetani pamoja na mfalme!

MALAIKA AKAPAAZA SAUTI KUU AKISEMA OMBENI MSIJE MKAINGIA MAJARIBUNI

Maana tazama wametumwa akina Wakudadavuwa, simiyu, kipara kipya, Barbarosa na Lemutuz ili kumfariji mfalme kwa kujikakamua kuficha uovu unaomchukiza MUNGU upeo.

====UFUNUO UNAENDELEA====
 
Ufunuo wa Tundu Lissu kabla ya kuzigeuza risasi kuwa maji akiwa dodoma.

Nikamuona kunguru mwenye mbawa tatu na mdomo wa chuma na kucha mfano wa visu vya wachonga masanamu ya baali.
Manyoya ya kunguru yule ni kama nzige waliotayari kushambulia nyika. Miguuni alining'iniza smg yenye mitutu minne kila upande.
Na zile mbawa tatu ni kwa ajili ya bunge, serikali na mizani ya haki.

Kunguru akanyanyua midomo yake akalia:
Ole ole ole wao wakaao juu ya nchi ya danganyika.
=======Inaendelea=======
Nikamuona mfalme amekaa kwenye kiti chake cha enzi naye amejifika kwa mavazi ya fedha, aliyeshika mkononi kitu kama mti mkavu wenye moto wa kufisha.

Akauvunjavunja mti ule vikatokea vijiti viiiingi vyenye uwezo sawa na tabia za kufanana.

Vijiti vile akavigawa kwa kundi kubwa la watu wasioonekana, wote wakawa tayari kuvitumia pindi amri ikitolewa!

Vijiti vile vina miisho minne, ambayo hutoa moto uuao wote wamwaduo MUNGU.

Nikaona moto na kusikia kishindo kishindo kama cha mtu anakohoa mfululizo, mtu mmoja asiyeonekana aliyepewa kijiti kimoja aliamriwa kukitumi!

Alipigwa Mtumishi wa Mungu Ponda bali mauti haikupewa mamlaka juu yake.

Hapo awali Kijiti kilitumika kwa majaribio kikamuua yule askari shupavu Kombe!

Nikakiona kijiti maeneo ya dodoma kikiwa tayari kutumika, nao waliokibeba nikawatambua, mimi tu ili kukujuza wasioonekana hao!

Wakaifyatua mitego ya mioto ile kunielekea, lengo kuu ni kunipeleka kuzimu.
MUNGU akasimama kumkemea shetani pamoja na mfalme!

MALAIKA AKAPAAZA SAUTI KUU AKISEMA OMBENI MSIJE MKAINGIA MAJARIBUNI

Maana tazama wametumwa akina Wakudadavuwa, simiyu, kipara kipya, Barbarosa na Lemutuz ili kumfariji mfalme kwa kujikakamua kuficha uovu unaomchukiza MUNGU upeo.

====UFUNUO UNAENDELEA====
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom